Vetting system ya viongozi ilishindwaje kumchuja Ole Sabaya?

Vetting ya Awamu ya Mwendazake ili Kuwa moja [emoji28]

1. Kuchukia wapinzani

Ya pili [emoji116][emoji116][emoji116]
Bonus ya Sabaya

2. Hampendi Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ufundi wa kutukana na kudhalilisha watumishi wa umma hadharani.
 
Uko sahihi kuna kitu kina miss na ni hatari kwa Taifa. Natamani kuiona tena Special Branch ya akina Mzee Mwangonda, hii TISS nafikiri ama wameinyima utashi wa kisiasa au kuna watu nje ya mfumo na wakati mwingine si watanzania wanaihujumu tokea ndani.
Kweli mkuu, Awamu ya Tano, kuna udhaifu mkubwa sana katika kuchukua viongozi.
Wachujaji, TISS inabidi isukwe upaya maana chujio inaelekea lina hitilafu.
 
Ni ngumu kuwatambua kwani watu hawa huwa kama malofa, wapole wana adabu, ila wakipata nafasi tu, na kujihisi wako salama ulipuka na tabia zao halisi, ni taizo kupenda malofa na kuwaepa watu wajanja! Wajanja uwa si wajinga kiasi hiki!
 
Hayo mambo ya vetting labda nchi za wenzetu lakini sio Bongo hii siamini kabisa kama yapo maana naamini kama yangekuwepo sidhani hata yule aliyemteua yeye ingewezekana kukabidhiwa madaraka.
Hilo linafikirisha.
Inabidi viongozi ngazi ya Kikwete walijibu hili.
 
Nasikia hata JK vetting ilimkataa. Alipitaje akawa rais?
 
Viongozi walevi wa madaraka na makatili kipindi cha Magu walikuwa na nguvu sana. Kwa ujumla tulikuwa tunatawaliwa kwa shuruti na mtu muovu, Ndio maana ukatili ilikuwa sifa ya uongozi.
Wakati wa kikwete na Mwinyi mbona wezi walikuwa wengi? Nadhani bado naona kuna dalili ya ushabiki wa kikabila hata kwa mkosaji kama huyu. Kuna watu munaona mulikosewa sana kuliko wengine.
 
Wakati wa kikwete na Mwinyi mbona wezi walikuwa wengi? Nadhani bado naona kuna dalili ya ushabiki wa kikabila hata kwa mkosaji kama huyu. Kuna watu munaona mulikosewa sana kuliko wengine.
Mkuu wa Wilaya mbakaji, mporaji kijambazi, na mtesaji unasema ukabila?
 
Vetting iliendana na mahitaji ya awamu
 
Ila huyu Sabaya hata sielewi ilikuwaje akaukwaa Udc maana mara ya kwanza kumsikia ni pale alipokamatwa pale Arusha kwa kukutwa na kitambulisho Cha idara nyeti na kujifanya ni mtu wa system Ila Cha kushangaza kesi ilizima ghafla na kuibukia kwenye uwakilishi wa mtukufu ngazi ya Wilaya ,nahisi vetting hawakumjua Ila mtu mmoja alisema tu namtaka huyo Mmeru
 
Kitu cha ajabu huyu jamaa na makonda wana similarly characters toka zamani sijui wapi tunafail
 
Yule bwana mkubwa alikuwa hovyo sana angekuwa hai angepaswa na yeye aswekwe rumande kwani aliharibu nchi hii sana.
 
HA LUGOLA ALIISHIA KUULIZIA MBWA WA MAKAO MAKUU YUKO WAPI,WAKATI PUMBA YAKULISHA HAKUPELEKA.Sirro nilimpa bigup MBWA MBWA WAZIRI MZIMA
 
VETTING?
MWENDA ZAKE ALIKUWA MDHAIFU NANI ALIMFANYIA VETTING NA PUSHUP ZILE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…