Vetting system ya viongozi ilishindwaje kumchuja Ole Sabaya?

Acha ujuha we kereg'ende. Kila kitu lawama zako ni utawala wa hayati JPM. Sabaya ni mtuhumiwa bado hajatiwa hatiani.
Juha wewe kwani sabaya alijiteua? Hata kama ni mtuhumiwa lakini kwa makosa yale yanatosha kuonesha magufuli alikuwa kiongozi wa hovyo sana.
Asante mungu Kafa
 
Sijui kama umeelewa msingi wa hoja yangu.
Nimekuelewa fika mkuu, lakini huna hoja.
Ati kwa sababu mtu wa awamu ya kwanza alitenda maovu basi iwe ruksa kutenda maovu sasa.
Tunafahamu baba yake Lengai Ole Sabaya ni mmoja wa waliotenda mabaya miaka hiyo, and he got away with it.
 
Nchi hii kwenye nafasi za kupeana kisiasa hakuna vetting zaidi ya connection na nepotism
 
Toka lini Masai akaweza ongoza watu Sokoine matatizo tupu,sabaya baba sabaya mwana matatizo tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…