Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.

Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Siku chadema ikiyumba tutajua tuu maana CCM mtaacha kuhangaika, hakuna kipindi CCM na machawa wanateseka kama kipindi hichi!
Maana yake chadema iko vzr inawantima usingizi
Gentleman,
iko vizuri kiaje hali ya kua watangaza nia wa chadema waliopuuza no reform no elections, wamemlazimisha Lisu kuachana na mpango huo usio na maana na hatimae tayari lisu ameandika barua kwa katibu mkuu wa chadema kutangaza nia ya kugombea urais kupitia chadema october2025:pedroP:
 
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.

Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Naona waliokuwa maadui wa CDM wakati wa mbowe,sasa wamekuwa marafiki baada ya mh.Lisu kushika madaraka.
Nilitegemea maadui wa chadema mkiona inayumba mkae kimya ili ianguke kabisa,sasa mnapiga kelele kuliko waliomo ndani ya basi.
kipi kinatakea? Mwenye akili anatakiwa kujiuliza maswali mengi.
Mh.Lisu na Heche watanzania tunawaamini,shika vema jahazi tunaamini tanzania mpya inakuja.
 
Naona waliokuwa maadui wa CDM wakati wa mbowe,sasa wamekuwa marafiki baada ya mh.Lisu kushika madaraka.
Nilitegemea maadui wa chadema mkiona inayumba mkae kimya ili ianguke kabisa,sasa mnapiga kelele kuliko waliomo ndani ya basi.
kipi kinatakea?
Mh.Lisu na Heche watanzania tunawaamini,shika vema jahazi tunaamini tanzania mpya inakuja.
kulikoni ahubiri no reform no elections halafua at the sam time amuandikie barua katibu mkuu wa chadema kwamba anatangaza nia ya kugombea urais? sio kuyumba na kupoteza uelekeo huko?

kwamba leo awahubirie wananchi wazuie uchaguzi halafu kesho anaenda kwa wananchi hao hao awaombe kura wamchague awe rais? kweli?

kuchanganyikiwa ukubwani ni kitu mbaya sana :pedroP:
 
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.

Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Angesema hata Luca ama Choice bado hakuna ambaye angeamini.
 
Mumeo kakushinda Sasa unatapatapa na mabwana wa wenzio,Utaweza?
 
Angesema hata Luca ama Choice bado hakuna ambaye angeamini.
Lisu bana dah :pedroP:

eti ametoka kuhamasisha wananchi wazuie uchaguzi mkuu, halafu kumbe tayari kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kumuarifu kwamba anatangaza nia ya kugombea urais october2025.

hivi kweli inaingia akilini kesho aende tena akawaombe wananchi kura wamchague awe raisi wakati jana katoka kuwambia wazuie uchaguzi huo?

huku si ni kupwaya na kupoteza uelekeo kwa kiwango kibaya sana gentleman?:pedroP:
 
kulikoni ahubiri no reform no elections halafua at the sam time amuandikie barua katibu mkuu wa chadema kwamba anatangaza nia ya kugombea urais? sio kuyumba na kupoteza uelekeo huko?

kwamba leo awahubirie wananchi wazuie uchaguzi halafu kesho anaenda kwa wananchi hao hao awaombe kura wamchague awe rais? kweli?

kuchanganyikiwa ukubwani ni kitu mbaya sana :pedroP:
Kauli inasema 'no reforms,no election' maana yake kama kuna reforms kuna uchaguzi.
Tatizo ninaloliona,TAL uwezo wake wa kufikiri ni mara mia zaidi ya baadhi ya watu, analoliona leo wengine wanaliona baada ya mwaka kupita.
 
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.

Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema haiyumbi, ni akili zako zipo kwenye comfort zone . Chadema inatoka kwenye comfort zone …… that is disturbing for many of you

Huwezi kufanya uchaguzi ambao
Msimamizi anateuliwa na mmoja wa mtu anaegombea nae uchaguzi

Ni wakati sasa umefika tuache huu upuuzi

It is disturbing and it has to happen

Mbegu lazima ioze kwanza
 
Nafasi ya Mbowe ingekuwa inapwaya,CCM wangetulia.
Sasa dawa ya No reform no Election inapenya Lumumba na Chamwino! Ofisi hazikaliki.
 
Na huyu vipi kwenye viatu vya Kinana?
 
Lisu bana dah :pedroP:

eti ametoka kuhamasisha wananchi wazuie uchaguzi mkuu, halafu kumbe tayari kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kumuarifu kwamba anatangaza nia ya kugombea urais october2025.

hivi kweli inaingia akilini kesho aende tena akawaombe wananchi kura wamchague awe raisi wakati jana katoka kuwambia wazuie uchaguzi huo?

huku si ni kupwaya na kupoteza uelekeo kwa kiwango kibaya sana gentleman?:pedroP:
Nyie na genge lenu mtajua hamjui
 
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.

Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania

Kwa leo tu hili ni andiko lako la kumi kuhusu chadema

Hahaha
 
😂😂😂vichekesho haviishi, mbowe alifika mwisho
 
Chadema haiyumbi, ni akili zako zipo kwenye comfort zone . Chadema inatoka kwenye comfort zone …… that is disturbing for many of you

Huwezi kufanya uchaguzi ambao
Msimamizi anateuliwa na mmoja wa mtu anaegombea nae uchaguzi

Ni wakati sasa umefika tuache huu upuuzi

It is disturbing and it has to happen

Mbegu lazima ioze kwanza
Hivi ingekuwa mechi ya simba na yanga refa anatoka team mojawapo shindano lingekwisha salama kweli??😂😂
 
Kauli inasema 'no reforms,no election' maana yake kama kuna reforms kuna uchaguzi.
Tatizo ninaloliona,TAL uwezo wake wa kufikiri ni mara mia zaidi ya baadhi ya watu, analoliona leo wengine wanaliona baada ya mwaka kupita.
Hii kauli sio ya lissu ni ya chama mkuu
 
Back
Top Bottom