Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Anayumba au anayumbishwa
vyote viwili gentleman,Anayumba au anayumbishwa

Uwe unajitahid ata kumsifia Samia mara moja moja maana mahaba yako na chadema yamezid wanaokupa posho watasitishaNi wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Na itakufa tu. Tuliwaambia hilo mapema na dalili zishaanza! The disintegration of Chadema is very near and very real!!Nyie UWT CHADEMA ikifa ni furaha kwenu
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman,Uwe unajitahid ata kumsifia Samia mara moja moja maana mahaba yako na chadema yamezid wanaokupa posho watasitisha

Siyo ndiyo sherehe kwenu UWTNa itakufa tu. Tuliwaambia hilo mapema na dalili zishaanza! The disintegration of Chadema is very near and very real!!
Of course Chadema inatakiwa ife mapema. Hicho chama Cha wahuni cha nini kiwepo? Hujui kilitutia aibu kwa viongozi wake kukataliwa kuingia Angola kwasababu ni wahuni?Siyo ndiyo sherehe kwenu UWT
UWT mpo vizuri, nyama, ngono na pombeOf course Chadema inatakiwa ife mapema. Hicho chama Cha wahuni cha nini kiwepo? Hujui kilitutia aibu kwa viongozi wake kukataliwa kuingia Angola kwasababu ni wahuni?
Kuna ambaye hafanyi hayo? Lissu yupo Tanzania mwaka sasa hajaonana na mkewe aliye Ubeleji. Nithibitishie kuwa hafanyi ngono?UWT mpo vizuri, nyama, ngono na pombe
UWT nyie ni wajinga sn, ukute na wewe una degree ya UdomKuna ambaye hafanyi hayo? Lissu yupo Tanzania mwaka sasa hajaonana na mkewe aliye Ubeleji. Nithibitishie kuwa hafanyi ngono?