Akili za kuambiwa changanya na zakoGentleman,
iko vizuri kiaje hali ya kua watangaza nia wa chadema waliopuuza no reform no elections, wamemlazimisha Lisu kuachana na mpango huo usio na maana na hatimae tayari lisu ameandika barua kwa katibu mkuu wa chadema kutangaza nia ya kugombea urais kupitia chadema october2025![]()
Lisu tapeli anataka awe mgombea pekee
Wengine wakushtuka last minute dirisha la ugombea uraisi ,ubunge na udiwani watakuta watu wa Lisu tu ndio wagombea
