Gentleman,Siku chadema ikiyumba tutajua tuu maana CCM mtaacha kuhangaika, hakuna kipindi CCM na machawa wanateseka kama kipindi hichi!
Maana yake chadema iko vzr inawantima usingizi
Naona waliokuwa maadui wa CDM wakati wa mbowe,sasa wamekuwa marafiki baada ya mh.Lisu kushika madaraka.Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
kulikoni ahubiri no reform no elections halafua at the sam time amuandikie barua katibu mkuu wa chadema kwamba anatangaza nia ya kugombea urais? sio kuyumba na kupoteza uelekeo huko?Naona waliokuwa maadui wa CDM wakati wa mbowe,sasa wamekuwa marafiki baada ya mh.Lisu kushika madaraka.
Nilitegemea maadui wa chadema mkiona inayumba mkae kimya ili ianguke kabisa,sasa mnapiga kelele kuliko waliomo ndani ya basi.
kipi kinatakea?
Mh.Lisu na Heche watanzania tunawaamini,shika vema jahazi tunaamini tanzania mpya inakuja.
Angesema hata Luca ama Choice bado hakuna ambaye angeamini.Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Lisu bana dahAngesema hata Luca ama Choice bado hakuna ambaye angeamini.
Kauli inasema 'no reforms,no election' maana yake kama kuna reforms kuna uchaguzi.kulikoni ahubiri no reform no elections halafua at the sam time amuandikie barua katibu mkuu wa chadema kwamba anatangaza nia ya kugombea urais? sio kuyumba na kupoteza uelekeo huko?
kwamba leo awahubirie wananchi wazuie uchaguzi halafu kesho anaenda kwa wananchi hao hao awaombe kura wamchague awe rais? kweli?
kuchanganyikiwa ukubwani ni kitu mbaya sana
Chadema haiyumbi, ni akili zako zipo kwenye comfort zone . Chadema inatoka kwenye comfort zone …… that is disturbing for many of youNi wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Nyie na genge lenu mtajua hamjuiLisu bana dah
eti ametoka kuhamasisha wananchi wazuie uchaguzi mkuu, halafu kumbe tayari kamuandikia barua katibu mkuu wa chadema kumuarifu kwamba anatangaza nia ya kugombea urais october2025.
hivi kweli inaingia akilini kesho aende tena akawaombe wananchi kura wamchague awe raisi wakati jana katoka kuwambia wazuie uchaguzi huo?
huku si ni kupwaya na kupoteza uelekeo kwa kiwango kibaya sana gentleman?
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Mtakomakuishi ni Kristo kufa ni faida mama Ima
😂😂😂vichekesho haviishi, mbowe alifika mwishoNi wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na agenda binafsi za viongozi wake wapya kupuuzwa na kupingwa na wanachama walio wengi wa chama hicho, kwavile hazina faida kwa chama wala wananchi.
Unadhani Lisu anakosea na amekwamia wapi kuiUnganisha chadema hata imefikia mahali agenda zake binafsi zinapingwa vikali tena waziwazi kabisa na kupuuzwa ndani na nje ya uongozi wa chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi ingekuwa mechi ya simba na yanga refa anatoka team mojawapo shindano lingekwisha salama kweli??😂😂Chadema haiyumbi, ni akili zako zipo kwenye comfort zone . Chadema inatoka kwenye comfort zone …… that is disturbing for many of you
Huwezi kufanya uchaguzi ambao
Msimamizi anateuliwa na mmoja wa mtu anaegombea nae uchaguzi
Ni wakati sasa umefika tuache huu upuuzi
It is disturbing and it has to happen
Mbegu lazima ioze kwanza
Hii kauli sio ya lissu ni ya chama mkuuKauli inasema 'no reforms,no election' maana yake kama kuna reforms kuna uchaguzi.
Tatizo ninaloliona,TAL uwezo wake wa kufikiri ni mara mia zaidi ya baadhi ya watu, analoliona leo wengine wanaliona baada ya mwaka kupita.