Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

Kwani Nia Ina tatizo gani
 
Kikatiba ni haki yako kutoa maoni pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Kwani Nia Ina tatizo gani
imefanya mtia nia wa urais aitwae Romanus kulimwa barua ya kukiuka msimamo binafsi wa Lisu wa no reform no elections,

lakini pia kutangaza nia kumefanya watangaza nia kuitwa HQ kwa majadiliano zaidi kulikoni wamempuuza no reform no elections 🐒
 
ndio maana Lisu ametangaza nia ya kugombea urais, maana yake no reform no elections imekua useless na completely nonsense 🐒
 

No reform no election 😂👍

Machawa hamuongelei yakwenu
 
No reform no election 😂👍

Machawa hamuongelei yakwenu
Gentleman,
lisu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema maana yake atashiriki kikamilifu uchaguzi wa October,

amekutapeli pesa, amekutapeli uhuru na haki zako kikatiba na amekuacha solemba dah, inauma hiyo dah!🐒
 
CHADEMA watakuja juta kumchagua huyu debe tupu.
 
Utayumba wewe na makala wako.
Lisu kaisha kuyumbisha na kukupoteza maboya gentleman,
Ametangaza kugombea na kushiriki uchaguzi mkuu kikamilifu,

wewe kindezi bado unaimba no reform no elections, dah 🤣
 
CHADEMA IMEKOSA VIONGOZI MAHIRI.IMEKOSA MVUTO KWA WATANZANIA WENGI
 
CHADEMA watakuja juta kumchagua huyu debe tupu.
tayari wanaisoma namba vizuri mpaka sasa,

haiingii akilini jana amemaliza kuhubiria watu kuzuia uchaguzi, kumbe tayari kaisha andika barua ya kutangaza nia na kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa October mwaka huu,

sasa huyo muungwana ni mzima kweli?🤣
 
Ikiyumba si ndio furaha yenu machawa?
Sasa mbona kama unaweweseka?
 
Walichagua kichaa awe mwenyekiti wao, wacha waipate!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…