Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

Akili za kuambiwa changanya na zako

Lisu tapeli anataka awe mgombea pekee
Wengine wakushtuka last minute dirisha la ugombea uraisi ,ubunge na udiwani watakuta watu wa Lisu tu ndio wagombea
 
Hata umuweke kwenye chupa, mwanaharamu atainua kidole
 
Yaani wewe kweli mchawi... Leo wewe wa kuwatakia CHADEMA mema??
 
Hizi ni ajira moja kwa moja kutoka Lumumba..
Naskia wanatakiwa wapige post 21 kwa week na kuna 'Wahariri' wa post.
 
Hii kauli sio ya lissu ni ya chama mkuu
Mkuu mleta mada hajataja chama bali amemtaja mbowe na lisu,ndo maana nikapita barabara ileile.
Mbowe aliongoza chama hakuwahi kuja na hii kauli,toka 95 anaingiza chama kwenye uchaguzi kwa tume ile ile.
 
Hizi ni ajira moja kwa moja kutoka Lumumba..
Naskia wanatakiwa wapige post 21 kwa week na kuna 'Wahariri' wa post.
ajira za uhakika za kutosha graduates na waTanzania wote zipo shambani kwenye sekta ya kilimo gentleman,

humu jukwaani tutajadili masula ya muhimu ya kisiasa pekee 🐒
 
Hata umuweke kwenye chupa, mwanaharamu atainua kidole
bilashaka unaunga mkono uamuzi wa Lisu kutangaza nia na kushiriki Uchaguzi mkuu wa October mwaka huu, right gentleman?🐒
 
Akili za kuambiwa changanya na zako

Lisu tapeli anataka awe mgombea pekee
Wengine wakushtuka last minute dirisha la ugombea uraisi ,ubunge na udiwani watakuta watu wa Lisu tu ndio wagombea
kumbe ndio ulikua mpango?
maana imeshangaza wengi kumbe nae alishawasilisha barua kwa katibu mkuu mnyika ya kutangaza nia ya kugombea uongozi Uchaguzi mkuu?

kumbe yeye amejipanga kisirisiiri kushiriki Uchaguzi mkuu kikamilifu halafu ana hadaa wanachadema, dah?

utapeli ni tabia mbaya sana aise 🐒
 
Sasa kama walikataa hela za mbowe ingali hata hizo ofisi za makao makuu aliyetoa hela ni Mbowe na bado hawana shukrani unatarajia watafanya kipi cha ajabu?
 
Sasa kama walikataa hela za mbowe ingali hata hizo ofisi za makao makuu aliyetoa hela ni Mbowe na bado hawana shukrani unatarajia watafanya kipi cha ajabu?
For sure,
Lisu amepwaya pakubwa, nadhani anachoweza ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi na kununua whisky na nyama choma tu, ambapo pia wanachadema wamemchoka 🐒
 
Ikiyumba si ndio furaha yenu machawa?
Sasa mbona kama unaweweseka?
ni muhimu sana kuzingatia ukweli gentleman, kutapeli wananchi ni kitu mbaya sana aise,

raha jipe mwenyewe gentleman 🐒
 
For sure,
Lisu amepwaya pakubwa, nadhani anachoweza ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi na kununua whisky na nyama choma tu, ambapo pia wanachadema wamemchoka 🐒
Wataishi kwa kuombaomba mpaka lini? They need a strong money supply source ili waweze kuendesha chama.

Huwezi kuendesha chama kwa kuombaomba michango kama harusi ye mwenyewe chiba anaombaomba hadi hela ya kutengeneza gari sasa hapo kwei kuna kiongozi mwenye uelewa wa kuendesha chama?

Akiwaza pa kupata pesa anawaza kuombaomba michango tu hata makanisa siku hizi yamebuni njia za mapato sio sadaka pekee.
 
Samahani kwa hili, mbona unaongea kama mke wa chadema uliyeachwa? Sina nia ya kutweza utu wako lakini umekaa kama mke mtaliki wa Cdm
 
Ila mkuu kama wewe ni me basi wazazi sina lakuwasemea ila kama na ke basi uko sawa
 
Najua mnataka kukinukisha kwa gharama yoyote
 
Ebu jaribu kwenda kuwaambia wenzako chamani ukweli. Ukimaliza uende kwa wananchi. Wakiupokea ukweli wako ulete mrejesho!
Gentleman,
ukweli ni kwamba viatu vya uongozi wa Mbowe vimempwaya sana Lisu,

na wanachadema na wanachi wote wanajua na kuliona hilo wazi, hakuna haja ya kushupaza shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…