Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

Anayumba au anayumbishwa
vyote viwili gentleman,
In fact yeye mwenyewe binafsi amekosa maono na hana mikakati kabisa ya kisiasa au kiuchumi ya kuikwamua chadema aliyodai inanuka rushwa na ni yawalamba asali, lakini pia washauri wake wanampotosha vibaya sana bosi huyo wa chadema ambaye ni mbinafsi kupindukia,

mbaya zaidi,
g55 na watia nia wote wa chadema wanamkoroga zaidi, huku Mchome na Romanus wamemkalia kooni mbaya sana
 
Uwe unajitahid ata kumsifia Samia mara moja moja maana mahaba yako na chadema yamezid wanaokupa posho watasitisha
 
Uwe unajitahid ata kumsifia Samia mara moja moja maana mahaba yako na chadema yamezid wanaokupa posho watasitisha
jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman,

hayo mengine unaweza kuyaandikia uzi maalumu au ukayakuta kwenye majukwaa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…