Siyo mwendazake hata waliyomtangulia piaMwendazake akutengeneza solution ya kudumu kuhusu machinga yaani kuwapitia maeneo sahihi bali aliwatengeneza awatumie kisiasa.
Kodi za barabarani wanazochukua ni ofisi ya mtendaji kata ,sasa sijui kama hela wanayochukua ni official au pesa ya juu kwa juuWenye vibanda barabarani wakikaa hapo kwa miaka kama kumi watajiona kama wana umiliki wa hayo maeneo watajenga mpaka frem za zege kabisa na kupangishiana
watu watakuwa wanachukua kodi kabisa tukitaka kupanua barabara tutaambiwa ni bora angekuwa Magufuli na blah blah nyingi watahitaji fidia jambo ambalo haliwezekani ukibomoa ni kizungumkuti, kuwaambia wahame pekee yao hawawezi kuhama
Ameona mbali lakini ukiweka meza tu huwezi kuweka uwekezaji mkubwa sanakumbe hajafanya chochote yaani waje nameza zao biashara iendelee
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Warudi machinga complex pale wafanye biashara hata juu ya palaa la machinga complex
mtanyonyeshwa mpaka lini. mtoto kishakuwa bado ananyonya. muda umefika na yeye atembeemama sasa sio tu ananyang'anya ziwa mtoto bali anamuongezea na makwenzi juu..mama kama mamawakambo.
miji lazima ipangwe. hakuna cha laana hapa.Wanyonge tukale wapi?.
Mtapata laana ya marehemu
Zao la machinga ni matokeo ya kushindwa kwa sera za ccmSiyo mwendazake hata waliyomtangulia pia
Na mpaka sasa hawajajua wafanye nini kuhusu wamachinga
Ova
Umetoka lini bleed? Soma tangazo vizuri, halafu uache kulia kulia kwa kutanguliza jinsia yako ya mwanamke eti haswa kina mama wanaotegemea vikoba wakati ninyi ndo Rais wa nchi.Hao wanaotolewa maeneo hayo wanatarajiwa kuhamishiwa wapi?. Mtihani mpya kwa wale waliochukua mikopo haswa kina mama wanaotegemea vikoba na pesa za aina hiyo.
hapa tuangalie msongamano unatatuliwaje ,waondoke kabisaAmeona mbali lakini ukiweka meza tu huwezi kuweka uwekezaji mkubwa sana
Kwa upande wa uongozi ndipo lilipo tatizo, hao wachuuzi hapo stand wanajiamulia watakavyo kwa kuigeuza stand kuwa soko, but sheria hairuhusu kitu kama hicho, swali la kujiuliza ni hili "viongozi husika hawajui wajibu wao?Mkuu kweli Mbezi Luis imezidi mno kwa uchafuzi wa mazingira nadhani hali hii imechangiwa na uwepo wa Magufuli Bus Stand. Ile Stand ya daladala kuanzia saa 12 jioni inageuka na kuwa soko, nawahurumia sana wahudumu wa ufasi.
Naunga mkono hoja. I think as a nation we can do better than this.Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam...