Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Hao wanaotolewa maeneo hayo wanatarajiwa kuhamishiwa wapi?. Mtihani mpya kwa wale waliochukua mikopo haswa kina mama wanaotegemea vikoba na pesa za aina hiyo.
Una akili kubwa sana. Kuna watu wanashangilia tu bila kuwaza kuwa wanaofanyiwa hivyo nao ni watanzania na wana familia za kuzilisha
 
Hao wanaotolewa maeneo hayo wanatarajiwa kuhamishiwa wapi?. Mtihani mpya kwa wale waliochukua mikopo haswa kina mama wanaotegemea vikoba na pesa za aina hiyo.
Una akili kubwa sana. Kuna watu wanashangilia tu bila kuwaza kuwa wanaofanyiwa hivyo nao ni watanzania na wana familia za kuzilisha
 
Nadhani kama taifa lazima kuwa na utaratibu maalum, haiwezekani watu wanaamua kufanya kila sehemu ni ya kuuza matango, parachichi, chupi, blauzi Yani vurugu tupu.

Serikali imetenga maeneo ya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo masoko, viwanja vya magulio ya wiki, minada, viwanja vya mpira, na kila aina ya shughuli mbalimbali Zina maeneo yake.

Kitendo cha machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi inakosesha Halmashauri mapato ya ushuru pamoja na Kodi za pango. Pia tunakuwa tunawaumiza wale walioweka biashara zao maeneo rasmi na hii ni double standard haifai kama taifa.

So walizoea kuwekwa maeneo yasiyo rasmi na ilikuwa kuna kero zake na raha yake pia Ila hata mie naona waondoke tu waende sehemu rasmi.

Hapo zamani tulishazoea mtumba ni Karume tu baada ya manzese kutimuliwa Ila sasa najiuliza wale walioenda Karume so hawapati biashara? Hii sio sawa. Warudi kule.
 
Mimi mpaka sasa nashangaa hiyo tabia ya kujenga vibanda na kuchafua mazingira mbona huko vijijini hawapeleki hivyo vibanda? Niko mbeya sasa kweli namsifu mkuu wa mkoa au mkurugenzi Kama ndo anasimamia mji yaani mji ni mdogo lakini hakuna hayo mabanda mabarabarani nacho ona wamejitahidi kujenga masoko ndo watu wanaenda kununua sasa hayo mabanda ya Dar, Mwanza na Arusha na hiyo kupanga chini sijui kwa nini?
 
Hili zoezi na Arusha tunalihitaji sana,mji miji mingi imekua michafu.
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.

Hii kama ni kweli ,inafurahisa zaidi.Unajua wasiojua wanaweza sema ni uonevu,lakini ule uliliwa ni zaidi ya ujinga na fujo.Biashara mpaka barabarani kabisa,Kisa eti watu wamelipia elfu 20.Magari yanawakwepa wafanya biashara.mfano kuanzia Buguruni mpaka mnazi mmja barabara zote za waenda kwa miguu zilizgeuka masoko
 
Kubbbbke wajane[emoji134][emoji134][emoji134][emoji22][emoji22][emoji22]

Anyway mlizidi nyodo....20, 000 per year![emoji848]
 
Hawa wenye vibanda barabarani walidharau wafanyakazi wa serikalini

Kuna mmoja ana banda lake city center huwa naenda kula mahindi ya kuchoma kila jioni ananitambiaga huyo eti " kila siku mi nalaza elfu sitini, sasa msomi yeyote anaweza shindana na mimi kweli?" Kumbe ni dongo kwangu mwanzo sikuelewa

Sasa ndo atajua hajui[emoji848]
 
MATAGA be like " Baada ya kifo wamachinga wameanza kunyanyaswa".

F you all..majiji yamekuwa kama dampo..watafutiwe maeneo ya kufanya biashara,na wengine turudi shamba kulima hakuna haja ya kukimbilia dsm na huna kitu cha maana cha kufanya.
 
Back
Top Bottom