Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
- Thread starter
- #321
Bwashee hujaelewa au hutaki kutoa kibanda chako katika njia ya watembea kwa miguu barabarani?Kandokando ya barabara unamaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee hujaelewa au hutaki kutoa kibanda chako katika njia ya watembea kwa miguu barabarani?Kandokando ya barabara unamaanisha nini?
Mkuu wewe unaona uchafu, wenzako ndio mahali wanapotafuta riziki zao kwa ajili ya familia zaoWazo zuri Jiji lazima lipangike liwe safi Biashara zitengewe maeneo Maalumu sio kila sehemu ni vibanda Angalia Posta Mpaka wachina Mahindi na viazi utadhani Mbagala Ofisi za Serikali Wamejaa Mama lishe shoe shines uchafu mtu
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani na walivo wengi. Yan walijiona wao ni jeshiHawa wenye vibanda barabarani walidharau wafanyakazi wa serikalini
Kuna mmoja ana banda lake city center huwa naenda kula mahindi ya kuchoma kila jioni ananitambiaga huyo eti " kila siku mi nalaza elfu sitini, sasa msomi yeyote anaweza shindana na mimi kweli?" Kumbe ni dongo kwangu mwanzo sikuelewa
Sasa ndo atajua hajui[emoji848]
Tayari wameshatafutiwa au watoke kwanza,... safi sana! Mitaa ilichafuka mno! Wananchi watafutiwe maeneo bora na salama ya kufanyia shughuli zao badala ya hizi hadaa za kisiasa - WANYONGE!
Bwashee hujaelewa au hutaki kutoa kibanda chako katika njia ya watembea kwa miguu barabarani?
poleni sanaSisi tumelipia na kitambulisho cha machinga sasa mtuguse tunuke🐒
Sawa, asiyejua maana usimwambie maana wahenga walisema.Ataelewa tu subir tarehe ifike
wanaingiza kipato cha kula na familia zao na kusogeza siku, Maisha magumu sana ila itabidi wkubaliane na hali halisiKuna kijiwe fulani hivi cha kahawa huwa naendaga kunywa. Bwana hicho kijiwe kinachekesha jamani, kuna Mama ntilie kama watano hivi wamekuja kupika pika hapo, amekuja na shoe shine, wauza dawa za kiume., wachoma mishkaki hapo hapo wote hao wapo chini ya mti huo huo mmoja sema huo mti ni mkubwa
Wewe ulilipokea kama dongo, badala yakulipokea in positive way,Hawa wenye vibanda barabarani walidharau wafanyakazi wa serikalini
Kuna mmoja ana banda lake city center huwa naenda kula mahindi ya kuchoma kila jioni ananitambiaga huyo eti " kila siku mi nalaza elfu sitini, sasa msomi yeyote anaweza shindana na mimi kweli?" Kumbe ni dongo kwangu mwanzo sikuelewa
Sasa ndo atajua hajui[emoji848]
Kariakoo njia ya mwendo kasi hakuna pakupita, ni kubanana hatari wamejaza vibanda tunapita yanapopita magariHii kama ni kweli ,inafurahisa zaidi.Unajua wasiojua wanaweza sema ni uonevu,lakini ule uliliwa ni zaidi ya ujinga na fujo.Biashara mpaka barabarani kabisa,Kisa eti watu wamelipia elfu 20.Magari yanawakwepa wafanya biashara.mfano kuanzia Buguruni mpaka mnazi mmja barabara zote za waenda kwa miguu zilizgeuka masoko
Hakika mkuuKuna watu wataandika
"Tutamkumbuka JPM" pumbavu kabisa kila kitu lazima kikae kwenye mpangilio mzuri
Sawa mkuuWewe ulilipokea kama dongo, badala yakulipokea in positive way,
Utafakari ni namna gani utaongeza kipato chako na kujiinua zaidi ya hapo!
Tujitahidi kuwa na mawazo chanya kadri tuwezavyo..jamani (hata mimi na jifunza)
"Sasa ndio atajua hajui"- hii sasa ni chuki
"Hawa wenye vibanda barabarani walidharau wafanyakazi wa serikalini" - hapana sio wote, dharau hailetwi na kumiliki kibanda barabarani ni tabia tu ya mtu!
We acha tuu..sasa hivi wana kauli yao " mtu atuguse aone"Haaaaa Haaaaa [emoji23] jamani na walivo wengi. Yan walijiona wao ni jeshi
Kwani mmeambiwa msiuze? Fanyeni biashara halali mahali panapofaa wateja watawafuata. Kwanza walio wengi biashara si zao wamewekwa na wakwepa kodi kwa ujira kiduchu. Acheni kudeka!Wanyonge tukale wapi?.
Mtapata laana ya marehemu
Kuna dola itawadhibiti na wasijaribu kuonja sumu!Nasema wawaache yatima,wataanzisha vurugu wakati wa kubomoa hayo mabanda.hawawezi kukubali kirahisi,baba yao alishawamilikisha hayo maeneo.