Kuna rafiki yangu anafanya kazi kaajiriwa pale ana mkataba ni electrical engineer diploma wanamlipa hela mbuzi kila siku anatafuta kazi aondoke pale lakini hajafanikiwa bado na ana familia
Aisee ubarikiweHii kazi nilishaifanya ilinifaa sana kuingiza elfu 15 ni rahisi sana na hamna sheria za kukubana sijui ingia kazini saa ngapi no ,hakuna raha duniani km kujiajiri ila hii biashara ya kununua vitu vidogo kariakoo na kuvizungusha kwenye maduka ya mangi kwa bei ya jumla inalipa unachukua vitu km dawa ya mbu pipi, biscuit superglue nk ukienda siku ya kwanza ya pili utapata idea mpya uongeze nn all the best
kila kazi ina changamoto zake na ugumu wake ila kuna kazi zimezidi sana alafu unachoambulia ni maumivu tu. Boda ina uafadhaliItoshe kusema tu kwamba kupitia huu uzi nimejifunza kwamba nisiidharau kazi yangu ya Bodaboda maana nina degree yangu hapa inanifanya niidharau hii kazi ya Boda naona kama sistahili kuifanya kumbe kuna watu wanapigika kinoma tena kwa malipo madogo sana kwa siku nzima wakati mie kwenye boda naweza pata mara Tano ya wao [emoji119]
Maisha yamenifundisha kuwa ukitaka kuijua thamani ya neema yoyote uliyojaaliwa na M/Mungu basi jilinganishe na walio chini yako usijilinganishe na walio juu yako.
😂Ni hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
Sasa kuna miamba wanapiga kila siku , nchi hii 🤣🤣🤣🤣,mno yanayofanyika humo viwandani yanatisha sana ,nimewahi fanya kazi kiwandani kama fundi mitambo so ninaelewa balaa wanapokutana nalo manual labourers , ni hatari zaidi ya hatariNi hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
Mbagala kuna Jongowe!!!???Mbagala hiyo. Utoke Bunju hadi Mbagala? Kwanini usiingie katika uwinga pale kariakoo?
Halafu wanajiita matajiri , upuuz mtupu ,majitu yanayonya watu hivi ,ni manyoya damu , hamna cha utajiri hapo ,huo ni uporaji kama uporaji mwingineNi hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
HahahahahahaHiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo
Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k
Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.
Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili
Au usizi home ujiuguze mwenyewe
Ila tunahonga kirahisi mno!Wanaume tunapata pesa kwa tabu Sana
Unakijua chuma kilichoyeyushwa lakini ?Vipi huko chuma kinaua?
Mama ntilie anamlipa mfanyakazi wake vizuri na bado anampa chakula bure!Elfu 4 kiwandani!
Kwa hiyo mama ntilie wanawalipa vizuri wafanyakazi wao kuliko hao matajiri [emoji15]
Hahahaha, nimecheka kwa sauti.Mzee ni balaa tupu[emoji1787][emoji1787].
Kwanza wale wanaozifanya zile kazi wanajuana na wamesha fanana nazo,,
Niliisi kufa kabisaa nikawa naona nyota nyota machoni umo ndani joto lake kama jehanamu alafu nondo inatoka kwenye kinu ya moto inapita tu pale kwenye maji shwaaaa[emoji1787][emoji1787] inakuja na mvuke unashika tatu tatu unazikunja,weee kidogo niwe kama wale wacheza salakasi nilivyoziinamisha tu kurudi kidogo zinipeleke angani[emoji119][emoji119]
Duuuuh hadi matechnician wanasuffer ?? Alikuwa analipwa shi ngapi ??Kuna rafiki yangu anafanya kazi kaajiriwa pale ana mkataba ni electrical engineer diploma wanamlipa hela mbuzi kila siku anatafuta kazi aondoke pale lakini hajafanikiwa bado na ana familia
Niliwahi kwenda kwa mo nikapigiwa hesabu kwa cents kipindi flani nilipotoka pale sikugeuka nyuma.Kaka 😆. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.
Kmmmk nimecheka sana babuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alifanya maamuzi ya maana hakika.Basi wakamvisha visha magloves yale ye bila kujua yale magloves yana husiana vipi na kazi anayoenda kufanya
Walivyo makatiri kwanza mwanangu wakampa kitengo cha jikoni
Anapita hadi kwenye kinu anaopoa nondo ikiwa imeiva yani imekuwa yamoto hadi imekuwa nyekundu
Halafu anaipeleka kwenye pool la maji kuipoza
Unaambiwa hayo maji ya kupozea hizo nondo yakikurukia balaa lake sio dogo
Mchizi akaomba ruhusa aende chooni...
Yap alifanya maamuzi sahihi
Kupakua nondo za moto kutoka kwenye kinu kuzipeleka kwenye pool sio mchezo
Hiyo mikono unavishwa gloves lakini joto lake linapenya mpaka kwenye mikono
Dar joto sana, fikiria pamoja na hilo joto bado uingie jikoni ambapo nondo zinapikwa na tena unatoka ukiwa umezibeba
AiseeHakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako