Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Hii kazi nilishaifanya ilinifaa sana kuingiza elfu 15 ni rahisi sana na hamna sheria za kukubana sijui ingia kazini saa ngapi no ,hakuna raha duniani km kujiajiri ila hii biashara ya kununua vitu vidogo kariakoo na kuvizungusha kwenye maduka ya mangi kwa bei ya jumla inalipa unachukua vitu km dawa ya mbu pipi, biscuit superglue nk ukienda siku ya kwanza ya pili utapata idea mpya uongeze nn all the best
Aisee ubarikiwe
 
Itoshe kusema tu kwamba kupitia huu uzi nimejifunza kwamba nisiidharau kazi yangu ya Bodaboda maana nina degree yangu hapa inanifanya niidharau hii kazi ya Boda naona kama sistahili kuifanya kumbe kuna watu wanapigika kinoma tena kwa malipo madogo sana kwa siku nzima wakati mie kwenye boda naweza pata mara Tano ya wao [emoji119]

Maisha yamenifundisha kuwa ukitaka kuijua thamani ya neema yoyote uliyojaaliwa na M/Mungu basi jilinganishe na walio chini yako usijilinganishe na walio juu yako.
kila kazi ina changamoto zake na ugumu wake ila kuna kazi zimezidi sana alafu unachoambulia ni maumivu tu. Boda ina uafadhali
Ni hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
😂
 
Ni hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
Sasa kuna miamba wanapiga kila siku , nchi hii 🤣🤣🤣🤣,mno yanayofanyika humo viwandani yanatisha sana ,nimewahi fanya kazi kiwandani kama fundi mitambo so ninaelewa balaa wanapokutana nalo manual labourers , ni hatari zaidi ya hatari
 
Ni hatari mimi nilipitia hiyo changamoto nikiwa mwanza,jamaa yangu akanambia pale nyakato still kazi nje nje akaniuliza utaweza?,nikaona kanidharau nikamwambia we nipeleke,nikashangaa jamaa alivyonifikisha pale akaniachia na nauli ya kurudia[emoji1787],
Wazee nilianza vikazi vidogo dogo,kifupi zilianza kupakuliwa nondo zilizoiva sasa kazi kuzibeba uku zinatoa mvuke,weeee,nilivua gloves na nilikaa masaa matatu,wiki nzima nilikuwa sina hali[emoji706]
Halafu wanajiita matajiri , upuuz mtupu ,majitu yanayonya watu hivi ,ni manyoya damu , hamna cha utajiri hapo ,huo ni uporaji kama uporaji mwingine
 
Hiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo

Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k

Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.

Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili

Au usizi home ujiuguze mwenyewe
Hahahahahaha
 
Kazi za viwandani hasa Tanzania ni hatari sana kwa afya na uhai wako ,do it for your own risk , safety zero ,vitendea kazi hamna ,mazingira mabovu na hatarishi kwa afya na uhai , ujira mdogo sana na usiofaa kabisa + manyanyaso na overwork .
Compliance ya OSHA (Occupation safety and health ) ni always zero ,hivyo ndio viwanda uchwara vya bongo.
Kuna mdau kaongelea kiwanda cha NONDO Nyakato steel-Mwanza , kile ni mfano mmoja wapo , mwaka jana hapo Nyakato steel bomu lilipuka humo ndani ,yote hiyo ni uzembe wa compliance ya masuala ya safety ,wao wanafanya biashara ya kuteyusha chuma chakavu yet hamna mifumo thabiti ya kuchunguza na kusort vyuma vinavyoletwa ili kuyeyushwa ,matokeo yake wanaokoteza kila aina ya chuma na kuvipeleka kwenye vinu /furnaces kuyeyushwa ,upuuz mtupu .
Hivi viwanda vingi bongo vinaoperate kama criminal cartels za mamafia ,Kwanza wengi wanaoendesha hivyo viwanda ni matapeli tu ,wanatapeli hata hivyo viposho vya elfu mbili mbili wanavyowalipa hao vibarua utakuta kuna muda hawawalipi ,mambo ya ovyo kabisa
 
Kuna jamaa yangu aliona makaratasi ya ajira viwandani wamebandika katika nguzo za umeme mshahara kwa wiki ni laki 275,000/= .jamaa akajitosa akawahi asubuhi saa 12 yupo getini kufika mida ya saa 5 asubuhi namuona jamaa huyu hapa gheto namuuliza mbona umewahi kurudi mapema yote hii kulikoni?
Jamaa akaniambia brother acha tu uliona wapi watu wawili mmekabidhiwa Lori scania 10 zimejaa mzigo wa gypsum board muushushe mzigo wote kwa siku moja?😃
Jamaa alipiga kazi mpaka saa 5 asubuhi alivyoona hakuna dalili ya mzigo kuisha akaamua kutoroka.
 
Mzee ni balaa tupu[emoji1787][emoji1787].
Kwanza wale wanaozifanya zile kazi wanajuana na wamesha fanana nazo,,
Niliisi kufa kabisaa nikawa naona nyota nyota machoni umo ndani joto lake kama jehanamu alafu nondo inatoka kwenye kinu ya moto inapita tu pale kwenye maji shwaaaa[emoji1787][emoji1787] inakuja na mvuke unashika tatu tatu unazikunja,weee kidogo niwe kama wale wacheza salakasi nilivyoziinamisha tu kurudi kidogo zinipeleke angani[emoji119][emoji119]
Hahahaha, nimecheka kwa sauti.
Umasikini mbaya sana.
 
Basi wakamvisha visha magloves yale ye bila kujua yale magloves yana husiana vipi na kazi anayoenda kufanya


Walivyo makatiri kwanza mwanangu wakampa kitengo cha jikoni

Anapita hadi kwenye kinu anaopoa nondo ikiwa imeiva yani imekuwa yamoto hadi imekuwa nyekundu

Halafu anaipeleka kwenye pool la maji kuipoza

Unaambiwa hayo maji ya kupozea hizo nondo yakikurukia balaa lake sio dogo

Mchizi akaomba ruhusa aende chooni...

Yap alifanya maamuzi sahihi
Kmmmk nimecheka sana babuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alifanya maamuzi ya maana hakika.
 
Halafu kuna malaya anataka ale hela yako kirahisi bila kupakiwa mkongo 🤣🤣🤣
Kupakua nondo za moto kutoka kwenye kinu kuzipeleka kwenye pool sio mchezo

Hiyo mikono unavishwa gloves lakini joto lake linapenya mpaka kwenye mikono

Dar joto sana, fikiria pamoja na hilo joto bado uingie jikoni ambapo nondo zinapikwa na tena unatoka ukiwa umezibeba
 
Back
Top Bottom