aah nimekupata tujikite kwenye nuksi.Ahahaaa...
Mbna afya na nuksi vtu viwili tofauti kabsa mzee....
Au hujui nini maana ya nuksi na nini maana ya afya ili tuanze kuelimishana?
Ukisema matunda yanatoa nuksi hyo ni shirki....ni sawa na ukasema ukioga maji ya chumvi hutoa nuksi...
Watu huzaliwa na afya zao Ila nuksi/ husda/kijicho huzkuta duniani...ni darsa pana sana ndomana hatuelewani.
Nimelipenda ndingaMie ushauri wangu ni mmoja!
Usikae ndani...usibaki kulala lala tu! Siku zote ukichangamana na watu lazima Kuna kitu utagain..all the best..
Kiufupi wewe unataka "Sponsor"Usema kweli wadada wengi tuko hivo, mwanaume kama hana hela anakuwa hadamshi asee
Huu ni uhalisia sio kupretend
Aiseee huu ni ukweli mtupuNi kweli Ila dada yngu uku vyuoni wanafunz wengi tunajisahau Sana,tuna kesho usku na mchana kupambana na ma GPA yaani mtu hataki akose ata kipindi class....hataki kuangalia upande wa shilingi.
apo ndo utakuta mtu kamaliza chuo ana GPA ya first class,akikosa ajiri utamuonea huruma hajui wapi pa kuingilia wapi pa kutokea....coz muda mwingi ameupoteza kumtengeneza GPA ya ajira
Jamaa una mikwaraaa...Kama ya Sipunda ..hahhaa nimepata tempo ya uberNimelipenda ndinga
Nikiweka MB nitali zoom ilo ndinga.Jamaa una mikwaraaa...Kama ya Sipunda ..hahhaa nimepata tempo ya uber
Kwani hapa umeingilia nini mkuu!😀😀ujana rahaaaa....Nikiweka MB nitali zoom ilo ndinga.
umesoma kozi gani bro mana huwa unapost mada ngumu sana!!Sipo kitengo chochote. Nipo tu ninakaa kwa shemeji yangu ninamsaidia kuosha gari lake akitoka kazini.
Mkuu kwani kufa biashara ni kitu cha ajabu??watu zinakufa biashara later anaamka Tena. ..au sijaelewa point yakoMimi ninaye mjomba wangu ambaye biashara zake kubwa sana ilikufa enzi za JK. Huyu pia unasemaje?
Mimi nina hulka ya kupenda kusoma sana vitabu vya kiingereza ndio maana ninajua mambo kadha wa kadha kuhusiana na International Politics.umesoma kozi gani bro mana huwa unapost mada ngumu sana!!
Ana mada gani ngumu boss ..!?umesoma kozi gani bro mana huwa unapost mada ngumu sana!!
Wewe inaonekana kama vile unamlalamikia JPM juu ya kufa kwa biashara za watu wakati biashara kufa ni suala la kawaida sana.Mkuu kwani kufa biashara ni kitu cha ajabu??watu zinakufa biashara later anaamka Tena. ..au sijaelewa point yako
Hata mimi ninashangaa boss.Ana mada gani ngumu boss ..!?
contena jipya tumeingia na sisi...narefer tu kutoka kwa Wangari Maathai kuwa tusikae ndani...just interact
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kufa biashara nyingi Sana zimekufa kipindi alipoingia jamaa yenu Hilo halifichiki...point yangu ni hiii...wanafunzi wangepewa chances kama Hizo ni rahisi kubebana na kutatua changamoto pamoja na kusonga mbele.. na mitaala ibadilishwe!Wewe inaonekana kama vile unamlalamikia JPM juu ya kufa kwa biashara za watu wakati biashara kufa ni suala la kawaida sana.
[emoji23][emoji23] mwache kwanza atakua ayaone maana kwa mikwara hio hata umwambie nini hawezi elewaKWAHIYO MNA MSHAURI NINI MDOGO WANGU AMBAYE SAIZI YUPO ADVANCE LAKINI MIKWALA ALIYONAYO HAPA NYUMBANI ,
meneja kama meneja ABSAWejamaa ulichofanya ni kuzungushazungusha lugha tu hapo kwani chumvi ya bahari kaiweka nani si Mungu...akisema aoge chumvi atoe nuksi hapo kaitakasa chumvi kivipi, sawa na kusema
1)soma uwe na maisha mazuri (je tumeitakasa elimu)
2)kula matunda upate afya (je limetakaswa tunda)
Kilichopo ni Mungu anatenda kupitia kisababishi (chumvi, matunda, elimu nk) sasa unapotamka sentensi humtaji Mungu ila Lawa ya ulimwengu ukitaja chochote basi nyuma yake umemtaja Mungu sasa ukisema umtaje Mungu utahitajika kumtaja kila sentensi.
Ni kwamba umechengesha lugha tu.