Sivan
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 923
- 1,228
Aisee dunia iende tu.Mbona dunia ilitokea from nothing?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee dunia iende tu.Mbona dunia ilitokea from nothing?
Hahhaahhaa..muongee lugha moja😀😀🙌💕Ha ha ha, mi nimkute nazo asee, mambo sijui anafight nah, apambane apate tukutane mezani[emoji39][emoji39][emoji1787][emoji28]
Yes yes[emoji1787][emoji1787][emoji28]Hahhaahhaa..muongee lugha moja[emoji3][emoji3][emoji119][emoji177]
Nadhan kutaka mambo makubwa kuliko uwezo wako ndo mnajikita mnafikia hapa..wewe utadate vipi na sistaduu na huku unajua huna kitu bro?Kuna kila tabaka linahitaji kupendwa..anywysNipo serious sister labda ufuate under 18 (kuna mvua 30 huko) ila hawa ambao wanataka kuolewa kabla hawajachuja ni kujitia stress tu. Sababu hata vile vitu vyepesi tu vya kumsaidia utashindwa na uvumilvu una kikomo pia.
AiseeNadhan kutaka mambo makubwa kuliko uwezo wako ndo mnajikita mnafikia hapa..wewe utadate vipi na sistaduu na huku unajua huna kitu bro?Kuna kila tabaka linahitaji kupendwa..anywys
Mie nnapenda matumizi...! Yaan sioni ishu kuchoma hela..Sasa hao unaowakuta tayari Wana hela zao mie naonaga wananyanyasa Sana...sitaki.. wachache Sana wanaoweza kukupimp utakavyo..Yes yes[emoji1787][emoji1787][emoji28]
😂😂😂 katika kitu mtu hutakiwi kucompromise ni yupi unaemtaka awe mwenza wako umridhie kabisa, na ukiwa mwanaume ili uwe on a safe side kua na uwezo wa kujikimu la sivyo utatia huruma sana.Nadhan kutaka mambo makubwa kuliko uwezo wako ndo mnajikita mnafikia hapa..wewe utadate vipi na sistaduu na huku unajua huna kitu bro?Kuna kila tabaka linahitaji kupendwa..anywys
Unataka kudate na vodada vyamjini Boss huna hata Mia ni akili hiyo?Aisee
mmh sio akiri kwakweli, ndio maana mimi mademu wangu aisee kuna uyo alitoka chalinze "Sivan naomba jero" nampiga 200.Unataka kudate na vodada vyamjini Boss huna hata Mia ni akili hiyo?
Haha hahaMie nnapenda matumizi...! Yaan sioni ishu kuchoma hela..Sasa hao unaowakuta tayari Wana hela zao mie naonaga wananyanyasa Sana...sitaki.. wachache Sana wanaoweza kukupimp utakavyo..
Kuna wanaume anakutana na mwanamke..kazinyake ni kumsindikiza tunkwejye deals Zake..akinunua kiwanja atakuchukua akawe shahidi upande wa kununua...atakula Bata tu na wewe lakini akushike mkono walau akupe mchongo hakuna[emoji57][emoji57][emoji57]! Kila siku unapigwa kiyoyozi tu kwenye ndinga lake...akuuuu[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
🤣🤣🤣🤣🤣!Haha haha
Hata huyo anayefight siku akichomoka anaona we sio size yake, Bora nikukute nazo
mmh sio akiri kwakweli, ndio maana mimi mademu wangu aisee kuna uyo alitoka chalinze "Sivan naomba jero" nampiga 200.
pole sana mkuuNi muda sasa nimekuwa natafuta kazi zilizo za professional yangu na zisizo zangu Ila kikubwa nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ile halali na ambayo inahitaji skills za kawaida na hata zile complicated maana naamini hamna kinachoshindikana ukiamua. Sasa tatzo huja hapa.
Nmehudhuria interview 16 mpaka sasa na kufika mpaka 10 Bora lakini mwishoni hii kitu inaitwa connection na kujuana inanifanya naishia kuwa na uzoefu mwingi wa kujibu maswali ya interview bila kuwa na mafanikio ya kazi.
Niseme Jambo moja kama wewe umetoka familia au ukoo ambao wewe ndo inahitaji ufanikiwe ili utengeneze hyo connection kwa wengine, basi kazi unayo maana nchi imegubikwa na rushwa za ngono na kujuana hadi sisi tunaotokea familia za kawaida hatupati haki ya kusikilzwa pamoja na uwezo au vipawa tulivyo navyo.
Kuna muda natamani nifanye biashara lakini nakumbuka lengo la kutafuta ajira pia ni kutaka kupata mtaji utakaoniwezesha kujiajiri ili nije nipambane na hii kitu sabu inauma sema hatuna pakwenda hadi inafika hatua inatubidi tukimbie mazingira tulioishi ili tusiwakatishe tamaa wadogo zetu wanaoaminishwa kupitia Elimu maisha yao yatabadilika, kwahiyo wakiwa wanatuona kaka zao tupo mitaani hatuna tunachofanya na ikiwa miaka kadhaa nyuma waliambiwa tupo vyuoni tunasoma na ikajulikana hivo kuwa sisi ni wasomi na mbaya zaidi wapo walioweka nia ya kutaka kufika hapa nilipo mimi.
Sasa je, wakajua uhalisia wa haya ninayopitia nani atapata moyo wakuendelea na Elimu?
All in all Kuna mafundisho mengi sana napitia japo najua ipo siku ntahitimu lakini nkifikiria pesa iliyowekezwa kwa shida na wazazi wangu ili mimi nisome wakijua ntawasaidia kulea wadogo zangu kumbe nimerud kuwa mzigo tena kwao.
Samahani kwa nitakayemuudhi na kwa aliye na wakati kama wangu ajipe moyo asikate tamaa kwani haya yote yana mwisho.
Na mimi nawataka wa Sinza inabidi nifanye maajabu aise..Yes kula kulingana na urefu wa kamba yako
Ndo pambana mzee baba..Na mimi nawataka wa Sinza inabidi nifanye maajabu aise..
Ha ha ha ha .mbona bado kwan akifika chuo ataleta mikwara mikubwa zaid ya iyo.KWAHIYO MNA MSHAURI NINI MDOGO WANGU AMBAYE SAIZI YUPO ADVANCE LAKINI MIKWALA ALIYONAYO HAPA NYUMBANI ,
usijali mkuuSorry Lily sikuona fresh