Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

Mwakani nitakuwa mtu wa kuandika mada jukwaa la inteligesia tu basi.
😂😂😂😂sawa bhana yote yanawezekana!!! ila mm siwez kuandka post kule intellegencia mpaka nipate hela mana kule kunahtaji utulize akili ndo uandke. vinginevyo utapost utopolo afu mods watapita na wewe
 
😂😂😂😂sawa bhana yote yanawezekana!!! ila mm siwez kuandka post kule intellegencia mpaka nipate hela mana kule kunahtaji utulize akili ndo uandke. vinginevyo utapost utopolo afu mods watapita na wewe
Haha ndio maana nikasema mwakani hapo (money involved).
 
Kuna jamaa naye alikua ana hizi mishe za kiduanzi namna hizo...lol.mbona Magu kamnyoosha vyema Sasa hivi 24-24th...nasemaga saafi kbs....amekua mpoleeee
Wanaojiita wasomi wengi wao wananyodo za kishezi Sana
Nakumbuka mwaka 2017 sept,pale posta Dodoma kunakijana mmoja alinijubu fyongo kisa nafuatilia mtonyo wangu.
 
Mkuu kwenye interview hatuendagi hvhv unang'arishwa nyota kwanza, ukiendelea hv utaendelea kuwa mhudhuriaji, interview18, siku nyingine ukiitwa kwenye interview niambie nitakushughulikia kwa gharama zangu then utanilipa ukishaanza kupokea mshahara.pambaf hamuijui African chemistry.
Kwel kaka sangoma muhim
 
hahahah umesema unataka mwanaume tayari anajiweza sio mganga njaa anayetafuta...ukishaona unataka mwanaume mwenye nayo ujue unataka sponsor wala sio kingine
Hapana mkuu,

Nimeongea hivo coz na mimi ni mtafutaji, so napenda wote tufanane yaan..ni hilo tu
 
Ila wadau nyumbani kuna graduate mmoja kapanga kahutimu uhasibu miaka minne nyuma kaanika nguo zake za kazi kiwandani cheap leabour kakonda.
We jamaa una utoto utoto sana
 
Ni muda sasa nimekuwa natafuta kazi zilizo za professional yangu na zisizo zangu Ila kikubwa nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ile halali na ambayo inahitaji skills za kawaida na hata zile complicated maana naamini hamna kinachoshindikana ukiamua. Sasa tatzo huja hapa.

Nmehudhuria interview 16 mpaka sasa na kufika mpaka 10 Bora lakini mwishoni hii kitu inaitwa connection na kujuana inanifanya naishia kuwa na uzoefu mwingi wa kujibu maswali ya interview bila kuwa na mafanikio ya kazi.

Niseme Jambo moja kama wewe umetoka familia au ukoo ambao wewe ndo inahitaji ufanikiwe ili utengeneze hyo connection kwa wengine, basi kazi unayo maana nchi imegubikwa na rushwa za ngono na kujuana hadi sisi tunaotokea familia za kawaida hatupati haki ya kusikilzwa pamoja na uwezo au vipawa tulivyo navyo.

Kuna muda natamani nifanye biashara lakini nakumbuka lengo la kutafuta ajira pia ni kutaka kupata mtaji utakaoniwezesha kujiajiri ili nije nipambane na hii kitu sabu inauma sema hatuna pakwenda hadi inafika hatua inatubidi tukimbie mazingira tulioishi ili tusiwakatishe tamaa wadogo zetu wanaoaminishwa kupitia Elimu maisha yao yatabadilika, kwahiyo wakiwa wanatuona kaka zao tupo mitaani hatuna tunachofanya na ikiwa miaka kadhaa nyuma waliambiwa tupo vyuoni tunasoma na ikajulikana hivo kuwa sisi ni wasomi na mbaya zaidi wapo walioweka nia ya kutaka kufika hapa nilipo mimi.

Sasa je, wakajua uhalisia wa haya ninayopitia nani atapata moyo wakuendelea na Elimu?

All in all Kuna mafundisho mengi sana napitia japo najua ipo siku ntahitimu lakini nkifikiria pesa iliyowekezwa kwa shida na wazazi wangu ili mimi nisome wakijua ntawasaidia kulea wadogo zangu kumbe nimerud kuwa mzigo tena kwao.

Samahani kwa nitakayemuudhi na kwa aliye na wakati kama wangu ajipe moyo asikate tamaa kwani haya yote yana mwisho.
Vijana, ni wakati mnapaswa to change your mind set; la sivyo, mmekwisha!
Hii employment syndrome itawafikisha pabaya. Wakoloni wa kiingereza walitutengenezea mfumo wa elimu na ajira ulio mbaya mno; kuwa tegemezi. Unategemea kuajiriwa na mtu au taasisi. Unategemea mshahara.
Ndiyo maana mwajiriwa msomi kabisa utakuta yupo anang'ang'ana ktk ajira na mshahara wa 1,300,000/= mpaka anastaafu au kufa. Colonialism castrated our brains. Tuko brain washed. Tanzania kuna fursa nyingi za kazi za kujiajiri. Vijana very selective kwa kazi. Wanaiga. Umri ndiyo unakwenda hivyo.
Mfumo wetu wenyewe wa ajiri very vague. Kuna hii kitu wanaita recategorization maeneo ya ajira Serikalini. Mfumo huu wa hovyo mno kwa sasa. Unaziba nafasi za ajira kwa wahitimu wapya vyuoni. Mfumo huu umeathiri sana sekta ya elimu hususan walimu wa shule za msingi. Walimu wengi wamekwenda kusoma these so called "cheap degrees and diploma" za lugha, mipango, biashara, na baada ya kuhitimu wamekimbilia idara nyingine za mipango, utumishi, utawala, n.k. Wamejaa huko na kuziba nafasi ya wahitimu wapya. Recategorization.
Anyway, kijana njoo shambani na ufugaji; kuna fursa nyingi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom