Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

[emoji3][emoji3][emoji3]... Hatari Sana. Kuna sehem ulisema unataka kutia Nia! .na bado nakukumbusha tuliwahi sema tuzamie [emoji3][emoji3] nahangaika na nauli hapa[emoji3][emoji3]
Nilitia nia Ila wajumbe walinikata mda sanaa
Kuhusu kuzamia bado nnajipanga kiaina... Ila nahisi hisi dalili za kuzamia tena kihali kabisa zipo
 
Vijana, ni wakati mnapaswa to change your mind set; la sivyo, mmekwisha!
Hii employment syndrome itawafikisha pabaya. Wakoloni wa kiingereza walitutengenezea mfumo wa elimu na ajira ulio mbaya mno; kuwa tegemezi. Unategemea kuajiriwa na mtu au taasisi. Unategemea mshahara.
Ndiyo maana mwajiriwa msomi kabisa utakuta yupo anang'ang'ana ktk ajira na mshahara wa 1,300,000/= mpaka anastaafu au kufa. Colonialism castrated our brains. Tuko brain washed. Tanzania kuna fursa nyingi za kazi za kujiajiri. Vijana very selective kwa kazi. Wanaiga. Umri ndiyo unakwenda hivyo.
Mfumo wetu wenyewe wa ajiri very vague. Kuna hii kitu wanaita recategorization maeneo ya ajira Serikalini. Mfumo huu wa hovyo mno kwa sasa. Unaziba nafasi za ajira kwa wahitimu wapya vyuoni. Mfumo huu umeathiri sana sekta ya elimu hususan walimu wa shule za msingi. Walimu wengi wamekwenda kusoma these so called "cheap degrees and diploma" za lugha, mipango, biashara, na baada ya kuhitimu wamekimbilia idara nyingine za mipango, utumishi, utawala, n.k. Wamejaa huko na kuziba nafasi ya wahitimu wapya. Recategorization.
Anyway, kijana njoo shambani na ufugaji; kuna fursa nyingi kwa sasa.
Unajua shida yetu tulioweng ni wepesi kushauri kulingana na mazoea au kilichopo mdomoni Sana huku uhalisia tukiujua! Fatilia hata motivational speakers wanavitu vya msingi wanazungumza Ila wanasahau kitu inaitwa mtaa na maisha ya mtaa ni SoMo lisilohitaji tuition lazma utumie akili ya ziada na pia uhalisia wa like wanachosema haupo kivitendo Bali nadharia zaidi. Leo hii unanilaumu mm kwa kuwa na Imani kwenye ajira na kuntaka niangalie upande wa pili huku ukijisauhulisha kuwa hiyo Elimu ambayo imejaa nadharia zaidi na ambayo imekosa uhalisia wa kilichopo mtaani nmeipata sio 100% nmetaka mwenywe.... Miaka ile mzazi gani au jamii gani ilikuwa haiamini katika Elimu? Ngeacha kusoma kufata kilennachokiamini ili jamii na wazazi wanitenge? Unamkataliaje mzazi kusoma shule? Mm nmemaliza 4m 4 nkalia mpaka machozi nataka kwenda chuo Cha ufundi nipate ujuzi wa moja kwa moja ambao utanipa pesa bila hata kusubr ajira ya mtu nkiwa na lengo la kukusanya mtaji ili nije niwekeze kwenye ujuzi wangu! Lakin nlitaka had kutengwa na ukoo kwa kile kinachowazwa kuwa nmeanza kuvuta bangi ndio maana natoa mawazo hayo... Haya wewe unafanyaje hapo? Tusilaumu Wala kutoa ushauri kwa mtu anaeugua Bali tuangalie wale ambao bado hawajapata homa hiyo Ila mm nnachotaka hapa ni dawa tu na sio wapi nilipatia ugonjwa.
 
Shida ni kwamba bado Kama Wasomi au wanavyuo wengi tunasoma huku hatujui mtaa unahitaj nn? Kuna ombwe kubwa Sana Kati ya tunachosomea na kinachohitajika kwenye maisha halisiaa.... Niwaombe wale waliopo vyuoni sasaivi jaribuni kuwekeza Nguvu nying kwenye kutaka ujuzi zaidi na mpate muda kujua Nini kinahtajika mtaani maana vingnevyo hata hicho unachosomea kina watu weng huku mtaani ambao Wana gpa nzuri na ujuzii wa kutosha lakin still wako Kama Mimi nlieanzisha uzi huu.. kinachoniuma ni serikali ambayo imeandaa mfumo mzuri wa Elimu ambayo imechukua pesa nying za wazazi wetu imeshindwa kuandaa mkakati wa wahitimu kupata mikopo ambayo itawafanya kujiajiri na kusonga mbele!!! Nna mawazo meng Sana ya biashara na mengne had nmejaribu kuyapeleka kwa wadau lakini bado unakosa msaada! Kikubwa nseme tu umasikini wa mtu unaanzia familia na ukoo anaotoka hvyo kile walichokalilishwa wazazi wetu kuhusu Elimu ndicho kinaniumiza sasaiv lakin lait wangetoa nafasi ya kuamini nnachokiamini ngekuwa mbali Sana..... Kama namuona mwanangu akifanya anachokiamini chini ya ushauri na muongozo wangu hivyo Mungu akipenda sitakuwa na kizazi masikini na ntapambana mpaka yatimie!!!!
 
Aisee.
 
Mkuu unachosema ni kweli mfumo wa elimu umejikita zaidi katika kuwaandaa graduate wengi wafikirie kuajiriwa zaidi (employment)

Hivyo graduates wengi wakimaliza chuo tu akili zao zinakuwa zinawaza ajira (employment). Kadiri muda unavyosonga bila kupata ajira, inazidi kuumizwa vichwa vya graduates (hapa ndiyo kuna mtego mkubwaa mnoo)

Elimu si mbaya kuipata. Kwanza inakufungua akili na kukuweka sawa ufahamu wako juu ya kufanya mambo mbalimbali e.g biashara n.k. Ndiyo maana tunafundishwa masomo mbalimbali kama ya ujasiria mali(entrepreneurship), usimamizi wa fedha (financial management) n.k

Masomo haya ya kibiashara tunafundishwa ili yatujenge. Tuwe na uwezo wa kusimamia project mbalimbali. Hivyo elimu si mbaya.

Lazima tutambue, tunapo hitimu vyuoni, kama bado haujapata nafasi ya kuajiriwa (employment) ni lazima tujikite katika biashara kwa maana bishara itakuingizia pesa daima.

Hata ukipata ajira hakikisha unajikita kwenye biashara pia (unapiga ajira huku una biashara inasonga pia). Maana utafanya ajira itafika muda utastaafu so lazima uwe na biashara pindi utakapostaafu unajiendeleza kwenye biashara

Kwahiyo, biashara haiepukiki kwa mwenye ajira na asie na ajira. Kwa mtu ambae bado hajapata ajira ana nafasi nzuri sana na muda mzuri wa kufanya biashara.

CHA KUFANYA TUKISHAHITIMU CHUO
1. Tufute mentality ya kwamba kutoka kimaisha ni lazima mpaka kupitia ajira (employment). Hapa ndipo kwenye mtego mkubwa sana kwa sisi graduates

2. Mentality zetu lazima tujue kufanikiwa ni muhimu kuwa na vyanzo vingi vya mapato, nidhamu ya fedha na uvumilivu.

3. Akili zetu ziwaze nje ya box, fursa zipo nyingi za kufanya na kutusua kimaisha.

Muhimu, nidhamu na kujituma. Wapo watu mbalimbali wamefanikiwa kimaisha kupitia fursa mbalimbali pasipo kutegemea ajira (employment).

Mungu atubariki sisi GRADUATES tufunguke akili. Maana amesema "Nitabariki kazi ya mikono yako"
 
Asante Sana umenena vyema haya ndio mawazo ambayo alietoa unajua kabsa amewah au ndo yupo kwenye gari moja nawewe
 
"Mtaji Mtaji Mtaji"

Nimemnukuu graduate mmoja hapa makumbusho.
 
Bro
Mkuu kwenye interview hatuendagi hvhv unang'arishwa nyota kwanza, ukiendelea hv utaendelea kuwa mhudhuriaji, interview18, siku nyingine ukiitwa kwenye interview niambie nitakushughulikia kwa gharama zangu then utanilipa ukishaanza kupokea mshahara.pambaf hamuijui African chemistry.
Bro imeongea la maana naomba nikucheck
 
Asante Sana umenena vyema haya ndio mawazo ambayo alietoa unajua kabsa amewah au ndo yupo kwenye gari moja nawewe
Kabisa bro tupo behewa moja (graduate 2017) na ajira rasmi bado, mimi ajira naiona ni moja ya vyanzo vingi vya mapato. Kama ajira bado basi vipo vyanzo vingine vingi vya mapato (Fursa) mbalimbali. Ni kujipanga, kufanya research za fursa mbali mbali na kuanza fursa.
 
Back
Top Bottom