King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Ni darsa pana kidogo mkuu....kikubwa kujifunza na kusimamia kile unachokiaminiaah nimekupata tujikite kwenye nuksi.
Endapo Mungu ameweka maji ya chumvi kutoa nuksi endapo utayaoga So nikisema "maji ya chumvi yanatoa nuksi hii ni Shirki.