Niliwahi kuwa konda aisee, ila kazi shikamoo,
Gari ruti mbagara to mawasiliano,
Ikifika mida ya saa 8 mpaka 2 usiku kichwa kimevurugwa, nam mambo kibao.
1. Watu wamechoka kinoma hawana furaha utadhani wametoka sehemu moja ( haswa kwenye tarehe za 9-19)
2. Perfume za aina tofauti + harufu za makwapa haswa ukiwa unadai nauli.
3. Foleni za kijinga na abiria ambao wanaongea kizungu au kutishiana,
4. Uchovu wa siku nzima na kuwahi kuamka,
Sasa hayo yote ukifika mbagara( unaenda mawasiliano) kwa sababu kichwa kimejamu unashangaa unaita mawasiliano, buguruni kwa azizi ali mbagara, mbagara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo busy mwenyewe unaita!
Shikamoo maisha, shikamoo wapambanaji
Sent from my SM-J701F using
JamiiForums mobile app