Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

Yaani hii stry yako ndo ilinifanya nikufollow... Ukitoa woga ..sijui elimu yako mbona kitaa kunakalika tu. Ishu watu wanajipa hadhi za juu Sana wanaona hawafit kwenye maisha hayo!Mimi nasema Tena sitakufa maskini...na ulimwengu unajua hili!
 
Mimi Kama men ni fighter na kipindi hicho Hana hela Wala siwazii...Ila huna hela alafu ni mvivu unapenda kitonga....alafu Mimi nahangaika wewe upo tu umekamatia remote mpira na wewe. .ah mapema sana

sidhan kama kuna mwanaume wa namna hii asee sidhani kabisa!!! yaan mtu huna pesa mkononi afu unaangalia mpira hyo pesa ya kununua kifurush unapata wapi?? hyo mood ya kuangalia mpira unaipata wapi na huna hela!!! how comes! asee nkiwa cna pesa hata mood ya kuangalia katuni inaisha
 
Pole mimi nilikuwa namuona kondakta wa daladala anavyorudisha chenchi, nikawa natamani hata mimi niwe tu kama kondakta nishike shilingi, kukosa pesa na kazi ya kuingiza kipato kunaleta sonona sana.
Niliwahi kuwa konda aisee, ila kazi shikamoo,
Gari ruti mbagara to mawasiliano,
Ikifika mida ya saa 8 mpaka 2 usiku kichwa kimevurugwa, nam mambo kibao.
1. Watu wamechoka kinoma hawana furaha utadhani wametoka sehemu moja ( haswa kwenye tarehe za 9-19)
2. Perfume za aina tofauti + harufu za makwapa haswa ukiwa unadai nauli.
3. Foleni za kijinga na abiria ambao wanaongea kizungu au kutishiana,
4. Uchovu wa siku nzima na kuwahi kuamka,

Sasa hayo yote ukifika mbagara( unaenda mawasiliano) kwa sababu kichwa kimejamu unashangaa unaita mawasiliano, buguruni kwa azizi ali mbagara, mbagara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo busy mwenyewe unaita!
Shikamoo maisha, shikamoo wapambanaji

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi sijui kwanini kila nikiufungua ubongo unausoma "natafuta kazi maeneo ambayo" nikituria ndio naona vingine.
 


nmekuelewa sana mkuu! hakika umenena. nawasihi vijana wenzangu tufate huu ushauri utatusaidia sana.
 
Oya mjomba tuingie kariakoo kesho tujifunze kupika mishikaki next week twende mkoa tukafanye maajabu na sisi😎😎
Hakuna mkoa hawajui kuandaa nyama Kama geita,shy,tabora jaman nyama inatupiwa kwenye wavu imetoka buchani wanaikataka kata Basi..nyama ngumuuuu..lakini wasukuma wanakula tu..Sasa hivi Segese ni 🔥🔥🔥 naamini utakuwa unalala saa7 usk
 
Achana na interview zingine zozote omba Ajira portal tu kule naamini utapita.Mimi nilipitia huko na nilienda interview nyingi Kama wewe lakn Ajira portal nilifaulu na nikaitwa kazin na hakuna ninayemfahamu hata mmoja na Sina connection uskate Tamaa. Naamini hukusoma kwa Bahati Mbaya MUNGU Kuna sehem amekukadiria. Muda tu bado utapataa na unaweza kupata kazi Nzuri ukawapita hata waliokutangulia

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Sasahivi segese mnh sijaelewa hapo.
 
Yaani hii stry yako ndo ilinifanya nikufollow... Ukitoa woga ..sijui elimu yako mbona kitaa kunakalika tu. Ishu watu wanajipa hadhi za juu Sana wanaona hawafit kwenye maisha hayo!Mimi nasema Tena sitakufa maskini...na ulimwengu unajua hili!
Amen sister tuendelee kupambana yani hata hapa Johannesburg nataka nifungie kijiwe cha vitafunwa wakati neandelea na mishe zingine. Natoa vitu halafu baadae ntaajiri mtu kwa sababu najua hela zipo kwenye hizi shughuli za kawaida ambazo hazina gharama kubwa kuzifanya.
 
Amen...Ila siku utuelezee ulifikaje huko kwa hustle zipi
Mungu akutangulie be positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…