Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mimi mwenyewe huwa nashangaa waislamu kuchora picha za Muammar Gaddafi kwenye magari yao.Wengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(Isreal)
Wakati huyo Gaddafi alileta majeshi yake kushirikiana na Iddi Amin kuua waswahili.