Kama ni RC na hujui nafasi ya Israel basi kuna tatizo kwenye kujifunza maandiko,Bible inasema atakae ibariki Israel Mungu atambariki,na atakae Ilaani Mungu atamlaani,...wanaoweka bendera wanafahamu nafasi ya hilo Taifa ktk maisha yao,..jiulize Israel imezungukwa na maadui wengi lkn hawaiwezi ,lile ni TAIFA TEULE...Soma Biblia utaelewa mambo haya.
Mungu yupi? Mana wao hawaamin katika jesus
Wakuu heshima kwenu.
Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.
Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.
Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel?
Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Sawa Halima, wee tuachie Ukristo wetu endelea na dini yako mbona hakuna mtu aliyewauliza mkivaa hijabu,!!Pamoja na ukristo wetu,tuwe na tabia ya kutafakari Mambo kwa kina..
Soma vizuri post yangu nimeelezea kila kituShida ipo wapi kila mtu akiamini lake?
Basi tuseme ni ushirikina na uchawiNi ujinga na upumbavu kuweka imani katika vitu badala ya mungu
Sijawahi kuwa Halima Wala Amina na haitokaa itokee,Mimi na wewe pengine tu wa Imani moja,Ila Kuna vitu yatupasa kutafakari kama wakristo, wakristo tumegeuka vituko,kila ukiingia mitandaoni unakutana na clip za aibu,hao mitume na manabii wanafanya Mambo ya ajabu wakristo mnafuata tu Kama kondoo wanapelekwa machinjioni,ndugu tafakarii ,neno la Mungu linasema"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"ndio maarifa yenyewe yanayoongelewa,utapata vipi hayo maarifa inatakiwa usome,ongeza elimu ndio maana mithali 4:13,unakumbushwa "mshike Sana elimu usimuache aende zake"....jamani wakristo wenzangu tuwe tunatafakari Mambo sio kukurupuka... Sasa vibendera vimekuwa vibendera khaaaaaSawa Halima, wee tuachie Ukristo wetu endelea na dini yako mbona hakuna mtu aliyewauliza mkivaa hijabu,!!
Ibrahim hakua Muisrael ni MUARABU wa Iraq..... Na Yakobo mnayemuita Israel wake zake wawili ambao alizaa naye watoto zaidi ni Kutoka Syria.Wengi huwa ni Wakristo, na huamini kupeperusha bendera ya Israel ni sawa na kuonesha wanakubaliana na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo(Isreal)
Taifa teule kisa haivamiwi? Mbona Hitler aliwachinja 6 Million ama Mbona Roman Empire iliifuta kabisa taifa la Israel wakaenda utumwani hadi makabila 10 yakapotea hadi leo?Israel Taifa teule...
Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ibrahimu atakuwa je Muarabu wa Iraq na wake za Yakobo wawe wasiria, wakati Yakobo alienda kuoa ndugu yake alipokuwa amezaliwa Ibrahimu na mkewe?Ibrahim hakua Muisrael ni MUARABU wa Iraq..... Na Yakobo mnayemuita Israel wake zake wawili ambao alizaa naye watoto zaidi ni Kutoka Syria.
Hawawezi kulinajisi Taifa lao.Na waisrael pia wanaweka vibendera vya Tanzania kwenye magari/pikipiki/bajaji zao?
wale michepuko wa Yakobo yaani Zilpah na Bilhah walikuwa wa-Syria kabisa yaani WAARABU.Ibrahimu atakuwa je Muarabu wa Iraq na wake za Yakobo wawe wasiria, wakati Yakobo alienda kuoa ndugu yake alipokuwa amezaliwa Ibrahimu na mkewe?
Wasyria wa kale hawakuwa Waarabu.wa-Syria
Hahahaha hakika hilo balaa jingine sasaBongo wanajifanya bendera ni kama kitu kitakatifu..wakati viongozi unafiki tu umewajaa..watupe ruhusa tuninginize bendera ya taifa majumbani kwetu.
#MaendeleoHayanaChama