inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa hiyo yuda eskariot atakua ndani ya ufalme wa milele na bwana yesu!?Kama hujui Sasa Kitendo Cha Wayahudi kumsulibisha Yesu Kristo Ni Jambo zuri Sana Sana kwetu Wakristo....na Wasingemsulubusha tungepata hasara kubwa Sana......
Wayahudi walifanya kazi Nzuri Sana mbele za Mungu Kumsulibisha Yesu
Wanatumikishwa kikatili na hawarudi..bdo wanaenda tu!!Wala Sijapanic Ila Suala la Wayahudi Kuwachukia Wakristo cyo Kigezo Cha Wakristo nao Kuwachukia Wayahudi...
Huko Saudia Kuna Dada zetu wengi Sana wanatumikishwa Kikatili Kazi za Ndani Mpaka Leo lakini Bado Tunawaheshimu Waarabu na waTZ wanaenda Kuhiji Saudia
Hahaha...Mkuu uwe serious kama rozari elianzia Vatican kwa paps ambae ni kiongozi wa RC na mimi ni RC, si unaona nafanya ibaada yangu kuomba mama Maria mama wa Mungu kupitia hiyo razari kwanini uilinganishe na hilizi ya kutoka Tanga au Mtwara tutaki radhi tafadhariHivi kwani Rozali ni ya Tanzania? Una uhusiano nayo wowote? Asili yake sio Vatican/ Italy penye misingi ya Roman Catholic?
Hakuna utofauti wowote. Ungekuwa umetundika hirizi ya kutoka Tanga au Mtwara kwenye gari sawa...ila Rozari ni walewale wazungu.
Sorry, out of topic, Hivi mbona Waarabu hawana sijda kama wabongo waitwao itikadi kali?Wala Sijapanic Ila Suala la Wayahudi Kuwachukia Wakristo cyo Kigezo Cha Wakristo nao Kuwachukia Wayahudi...
Huko Saudia Kuna Dada zetu wengi Sana wanatumikishwa Kikatili Kazi za Ndani Mpaka Leo lakini Bado Tunawaheshimu Waarabu na waTZ wanaenda Kuhiji Saudia
Sijawazungumzia hao wale wanaotaka kuwadhuru wale wajombaAcha kupotosha ndugu, hujui kama kuna Waarabu wanaoishi Israel na hadi kwenye Knesset wapo.
Au kufanya Alama ya msalaba...maana so yesu Wala washkaj zake wa karibu wanaojua Alama ya msalaba,ni ubunifu tu wa wambaHiKuna Mahali popote kwenye Biblia Tumeambiwa Tutumie Rozari??
Siyo waarab million 200 bali waarab Zaid ya million 500Israel Taifa teule...
Pale kwao wapo Milion Nane ila wamezungukwa na Waarabu zaidi ya Million 200 ila hakuna Mwarabu anae wasogelea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi siyo muhubiri, lakini kwa uelewa wangu, kiimani inaeleweka kwa nini wayahudi siyo wakristo....na kwa mkristo hiyo ya wayahudi kumkataa Kristo ilifungua milango kwa watu wa mataifa mengine. Ni ngumu na si sahihi kutumia macho ya imani zingine kuuelewa ukristo. Kuna imani ambazo kwa mapokeo yao: wanategemea/wangeridhika kuona chuki kutoka kwa wakristo kwenda kwa wayahudi kitu ambacho hakiwezekani.Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Wewe ndiye ulieingiza udini rejea post yako # 9Nyie mnaanza kuchanganya na kuaanza kupalalia ndini nyingine mleta uzi ajagusa dini nyingine kaleta mada ambao sio ya kidini, uislamu jnaingia je hapa
Hili hapa ndio ulitakiwa uandike kwenye main post...hilo swali ni geresha tu lengo lilikuwa hapaNimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..
Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..
Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Sorry, out of topic, Hivi mbona Waarabu hawana sijda kama wabongo waitwao itikadi kali?
Unafikiri sijida hutokana na nini!?Sorry, out of topic, Hivi mbona Waarabu hawana sijda kama wabongo waitwao itikadi kali?
Makobaz chief. Hujui akili zao?Yaani kabisa hili ni swali?
Wewe ni dhehebu gani?
Tuanzie hapo
Nipo very serious na logical kabisa. Hakuna tofauti yoyote kwasababu zote ni zana za Imani tu.Hahaha...Mkuu uwe serious kama rozari elianzia Vatican kwa paps ambae ni kiongozi wa RC na mimi ni RC, si unaona nafanya ibaada yangu kuomba mama Maria mama wa Mungu kupitia hiyo razari kwanini uilinganishe na hilizi ya kutoka Tanga au Mtwara tutaki radhi tafadhari
Wakizingua wanakula kichapo Daily na hawa jama sijaskia wakiwekewa vikwazo.Siyo waarab million 200 bali waarab Zaid ya million 500
Ndio maana bado nakupenda sana kwajinsi ulivyo MWEREVU.Hili hapa ndio ulitakiwa uandike kwenye main post...hilo swali ni geresha tu lengo lilikuwa hapa
Hapana,Kwa hiyo yuda eskariot atakua ndani ya ufalme wa milele na bwana yesu!?
Israel imeundwa na uingereza na ufaransa(picot-sykes) kwa lengo la kuwavuruga waarabu,USA anatoa msaada wa Hali na Mali,fikiria isingekuwepo Israel waarabu wangekuwa wamoja kiasi gani na wangekua na nguvu kiasi gani!!?Siyo waarab million 200 bali waarab Zaid ya million 500
Sasa si tunajionea maisha yao na tech zao mfano tuu...Watsap Fb wao ndo waanzilishi.kuna Mengi usiyoyajua, Hakuna Taifa teule duniani, Wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu tumeletwa duniani kuishi na kumuabudu.... Hizo ni cooked stories kubrainwash wazaramo na kuwin mass support worldwide...
Hindu nao kupitia chao watakwambia INDIA ndio Taifa teule, Muslims nao kupitia kitabu chao watakwambia SAUDIA ni taifa teule...
[emoji4][emoji4][emoji4] kama mimi tuNdio maana bado nakupenda sana kwajinsi ulivyo MWEREVU.