Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Hapana,
Ila unapaswa Kujua Kwamba Yesu Alikufa Ili Damu yake Imwagike Kusudi lipatikane Agano Jipya
Kwa Hyo Yesu Asingekufa Basi Isingemwagika Damu na Kama Damu Isingemwagika Kusingekuwa na Ukombozi kwa Waliopotea.....

Kwa Hyo Yesu alijua kabisa Ni lazima Afe..
Ndyo maana Petro alipomshauri Asisulubiwe Yesu Alimkemea
Mathayo 16:21 Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
22 Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata.
23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu

Kwa hyo Basi ulikuwa Ni mpango wa Mungu Yesu Afe
Mimi nimeuliza kuhusu yuda eskariote,aliyefanikisha yesu kukamatwa,kusulubiwa na kutimiza agano,so kafanya Jambo jema!!!..unaniletea stori nyingi!!
 
Israel imeundwa na uingereza na ufaransa(picot-sykes) kwa lengo la kuwavuruga waarabu,USA anatoa msaada wa Hali na Mali,fikiria isingekuwepo Israel waarabu wangekuwa wamoja kiasi gani na wangekua na nguvu kiasi gani!!?
Hahaha....!

Iliundwa kwa mara ya ngapi? Haikuwepo kabla?
 
Nipo very serious na logical kabisa. Hakuna tofauti yoyote kwasababu zote ni zana za Imani tu.

Hirizi ni ya asili ya kiafrika/ kibongo na Rozari ni ya kirumi.

Na hao wa bendera ni Imani yao juu ya Taifa la Israel

That's all!
Wewe unataka kumanisha sisi RC tukiangia nyumba za ibaada na Rozari zetu ni sawasa tumeingia na hilizi? Au mimi ndo cjakuelewa?
 
Mimi nimeuliza kuhusu yuda eskariote,aliyefanikisha yesu kukamatwa,kusulubiwa na kutimiza agano,so kafanya Jambo jema!!!..unaniletea stori nyingi!!
Hapana Yuda hakwenda Peponi ...
Na Hata Yesu wakati anapeleka Feedback alimtolea Ripoti..
 
Hapajawahi kuwa na taifa la Israel kabla
Nahisi siwezi hata kujadiliana nawewe katika hili kwasababu unaonekana hujui chochote kuhusiana na historia ya nchi hizi.

Quran na vitabu ya hadithi za Mtume zinabainisha kuwa Wayahudi walikuwa katika Taifa lipi enzi za Mtume Muhammad (S.A.W)
 
Wewe unataka kumanisha sisi RC tukiangia nyumba za ibaada na Rozari zetu nisawasa tumeingia na hilizi? Au mimi ndo cojakuelewa?
Soma vizuri utanielewa, usinilishe maneno.
 
Wakuu heshima kwenu.

Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini.

Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu.

Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation gani na hili Taifa la Israel?

Au ni Waisraeli weusi wanaoishi bongo?
Sio tu bendera ya Israel Hadi bendera ya America unakuta mtu kwaweka cha ajabu hakuna hata ya Tanzania
 
Wengi wao ni religious fanatics hususani new born again Christians, wakati wa Usrael wana pinga ukuristu.

Africa is a continent of confused fellows
Walokole wana ulimbukeni fulani hivi
 
Hapajawahi kuwa na taifa la Israel kabla
Naomba unijibu kuhusu suala la SIJDA, mbona waarabu wa Saudi Arabia, Yemen, Qatar, Egypt na kwingineko wanaswali lakini hawana sijda kama walizonazo Wabongo?
 
Hili hapa ndio ulitakiwa uandike kwenye main post...hilo swali ni geresha tu lengo lilikuwa hapa
Hapana mimi hata nilikuwa silijui hili..nimegugu(in RC Makala's voice) ndo nikagundua hilo na ni baada ya kufungua huu uzi.
 
Hapana Yuda hakwenda Peponi ...
Na Hata Yesu wakati anapeleka Feedback alimtolea Ripoti..
Toa sababu tano kwanini yuda hakuingia peponi, wakati yeye ndo alifanikisha mpango mzima wa Yesu
 
Back
Top Bottom