Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Hahahaa unashindia mtindi? Aku...siwezi mie hapa nimekula slace za maana 4 zina siagi karanga na chai ya haja ..nimeagiza ubuyu nile weee...saa 7 nakula lunch...saa10 naweza kaanga mayai nile na wanangu ..12 nakunywa maziwa moto(kuna baridi) saa2 dinner .! Kutoka hapo nakula bites had nalala[emoji2223]
Hahaaa kwa ulaji huu unene haki yako
 
Mimi siamini kama kuna unene wa kurithi. Unarithi tabia mbovu za kula kula hovyo zinazosababisha unene.
Kuna familia wanakula hovyo hovyo kwa hiyo ukikulia humo unarithi tabia hizo.
 
kwa sasa kiukweli nimeamua nimepunguza mno kula japo vishawishi vingi mno katika kipindi hiki nilikutana na offer moja ninayoipenda lunch wali samaki mkubwa na maharage na saladi nikasema pita kule.
siku nyingine nikakutana na ugali makange angalau hapa nikaagiza ndizi za kuchoma na mishkaki miwili
kiukweli naenda vizuri japo kuacha soda sio mchezo nimefanikiwa kwa sasa.
Ntakutafuta tufarijiane..!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom