Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Nakuja pmmi huwa sivai nguo fupi. na najtanda haswa na mtandio juu! nkivaa vimini au vibukta ujue nashinda ndani na sio sabb ya ubonge ni sabb am muslim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja pmmi huwa sivai nguo fupi. na najtanda haswa na mtandio juu! nkivaa vimini au vibukta ujue nashinda ndani na sio sabb ya ubonge ni sabb am muslim
🤣🤣🤣! Likizo tym...maisha ndo haya hayaHaaaa!
Yani kutwa nzima unakung'uta tu misosi😀😀😀 hapa lazima mtu ufumuke.
Sio mwanaume tu hata mwanamke kuendekeza milo ya hivyo sio vizuri.Unakuta mwanaume anakula hivi.
View attachment 1814000
Dah ushanitamanisha 😋😋Unakuta mwanaume anakula hivi.
View attachment 1814000
Wewe huyo cha mtoto niliyemuona juzi kwenye hyo order ongeza maziwa makubwa,mishikaki mitano,na maji makubwaUnakuta mwanaume anakula hivi.
View attachment 1814000
Hiyo app inaitwaje ndugu? Nahitaji kuipata piaSimu nayotumia mm ina app inayokushauri km za kutembea kila siku kulingana na umri na uzito wako. Afu saa 22:00 inakupa ripoti
Tupumzisheni jamani........Nimejaribu kuchunguza sana, vibonge kweli ubonge umekuja wenyewe au umejitakia au umerithi?
1. Kweli kuna unene wa kurithi lakini unue ni ugonjwa, lazma ufanye upasuaji au umtafute daktari kwa ushauri zaidi.
2. Ubonge wa kuja sababu ya maisha mazuri, kutokuwa na wasiwasi na maisha au kutojali chochote, yani unaishi wewe ilimradi mzima tu hutaki kuumiza kichwa kuhusu wengine au vingine. Unaridhika na chochote tu. Mlo wako wa kawaida ila kamili na wanga kwa sana bila kusahau 🍻, juisi matunda n.k.
3. Hawa watu, kwanza wana asili ya uchoyo na ubinafsi. Unakuta hana uwezo mkubwa wa kifedha lakini ni wa kula kula hovyo, kwenye daladala, njiani au popote alipo mwenyewe ana mishkaki ndizi mara anakunywa soda. Hapo anahesabu hajala, akishuka kwenye gari akiona duka atachukua biskuti,a kiona kitumbua kala, mara 🥜, hapo akifika nyumbani atasema hajala toka asubuhi. Atapika chakula atakula kidogo na kudai "chakula hakipandi" ataagiza chips na soda n.k
Hiyo no.3 watu hao wapo wengi sana, wakiambia punguza kula wanajua labda wanakula chakula kingi kumbe ni kula kula bila mpango. Afu ni wengine ni masikini wa kutupa kubajet pesa hawajui, pamoja na kula kula hovyo bila mpango bado atasema hajala kisa sio chakula rasmi.
Kila mtu naamini anaweza kuwa wa kawaida bila unene wa kupitiliza, kwa sababu hata zamani hakukuwa na unene huo, vyakula, milo tunayokula na aina ya kemikali tunazotumia ndio tatizo.
[emoji3]Niacheee[emoji854]
Hawa ni mabonge sio vibonge😁😁!
Afu hapo atakwambia mm sio mlaji😀😀. Badae atakuja kumlaumu sana mzazi wake.Mi vibonge wengi nilokutana nao kwakweli wanakula haswaaa,nasema mmoja mmoja
1.Ni mdada wa miaka 22 mara ya kwanza kimwona mwonekano wake ni kama wale wanaocheza mieleka ilinichukua mda kumzoea ulaji wake sasa mda wote anakula mara karanga mara juice mara biscuit ili mradi hatuliii yaani ni anakula ovyoovyo
2.Nilikutana nae kipindi nasoma anaitwa big na ni mnene kweli ugali anakula mwingi mno
3 nilipanda basi binti wa miaka mitatu (,,mtoto ni chibonge)na mama yake ambaye ana miaka kama 45 hivi safari ilikuwa ya masaa sita ,ikumbukwe safari ilianza sa nane za mchana kwa maana walishakula na cha mchana kabisa ila ndani ya mda huo mtoto alikula biscut kubwa ya elfu mbili,juice ya jero,mayai mawili,mishikaki mitatu na soda ya buku na mwisho wa safari nkakuta amekaa na mama yake wanakula chips kavu na mishikaki aseee nilichoka afu sasa wakati mama yake akimnunulia hivo vitu yeye alikunywa soda tu na wala hata hakuimaliza
4.nimekutana naye juzi sehemu nzuri hivi nadhani huyo baba ni mwalimu walikuwa kwenye vikào vyao kaja na madam order sasa ya huyo mzeee chips yai(wanatengeneza kubwa mi hata nikiwa na njaa gani siezi maliza)kaagiza mishikaki sita,maziwa ya mtindi makadirio ni kama lita kwa maana yalikuwa packed,soda ya chupa na maji makubwa aseee mzeee alifuta vyote niliona maji ndo aliyoondoka nayo
Mkuu una ushahidi au unawachokoza tu?Madem mabonge yananuka k
Sina experience mkuuMkuu una ushahidi au unawachokoza tu?
Heb Wangari Maathai na new gal tupeni experience ya mabonge wa kume mkiwa kitandani? Kweli kitambi kinaounguza urefu wa mzizi? Au ni official viba100?
Hao noma na nusuHawa ni mabonge sio vibonge😁😁!
Hahaahahaha🙌Wewe huyo cha mtoto niliyemuona juzi kwenye hyo order ongeza maziwa makubwa,mishikaki mitano,na maji makubwa
Tatizo lipo kwenye unachokula,wanga,sukari,juice vinatesa sanabasi we una mwili wa kula, mimi kula yangu utacheka. Na ndo kwanza nachanika mtt wa kike. Kukonda ni mpaka niugue tena nilazwe kabisa
Kweli mwili haujengwi kwa matofaliAfu hapo atakwambia mm sio mlaji[emoji3][emoji3]. Badae atakuja kumlaumu sana mzazi wake.
Ukisikia kibonge anasema mm hata sio mlaji huyo analia huko kusikojulikana kama kwenye gari,njian na mafichoni