Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Nimejaribu kuchunguza sana, vibonge kweli ubonge umekuja wenyewe au umejitakia au umerithi?

1. Kweli kuna unene wa kurithi lakini unue ni ugonjwa, lazma ufanye upasuaji au umtafute daktari kwa ushauri zaidi..
Mabonge sio wachoyo na si wabinafsi na ndomaana hujawahi kusikia watu wanene wana roho mbaya wengi wanaoambiwa wana roho mbaya ni wembamba na wanaambiwa ndo maana hawanenepi hivyo ukinenepa unaroho nzuri.

Angalia ofisini boss mnene na mwembamba yupi msumbufu na anaweza kuwa msaada kwako kiurahisi?

Halafu nani aliwaambia hawapendi miili yao? hebu acheni hizo hivi mnafikiri ninyi mlivyo wembamba tunawapenda ? lakini mbona tunawavumilia na kuhakikisha tunawaweka karibu lakini bado hamnenepi ka!
 
Sio mbali unaweza hata kuzunguka kiwanja cha mpira kwa kutembea tu,sik mpaka unyooshe barabarani
Kwani kuzunguka kiwanja ni kama kms ngap? Maana mm napoishi kufika road ni 8kms na ni mbali .sasa nashangaa 10kms
 
mi
Nilinde kwakweli tusidhurike na mawe ya humu😊
mimi pia bonge ila najitahidi kupungua vinginevyo utachoka haraka na usipungue kwa kasi sana anza taratibu sana kisha utafika.
  1. soda achana nazo kabisa pamoja na juice ya baharesa tupa kule
  2. kunywa maji mengi asubuhi kiasi cha lita mbili
  3. anza kupunguza chakula hasa jioni ikumbukwe kuwa njaa iko kichwani lakini tumbo ni stoo tu hivyo kula kidogo
  4. punguza wanga hasa wali na ugali unaweza kutumia ndizi na viazi lakini hakikisha unambogamboga nyingi zenye nyuzinyuzi
  5. fanya mazoezi kiasi si kwa kupungua kwa kuwa mazoezi yanapunguza kwa asilimia 20% kikubwa ni msosi.
ukifanya haya utaona matokeo mazuri
 
mabonge sio wachoyo na si wabinafsi na ndomaana hujawahi kusikia watu wanene wana roho mbaya wengi wanaoambiwa wana roho mbaya ni wembamba na wanaambiwa ndo maana hawanenepi hivyo ukinenepa unaroho nzuri.
angalia ofisini boss mnene na mwembamba yupi msumbufu na anaweza kuwa msaada kwako kiurahisi?
halafu nani aliwaambia hawapendi miili yao? hebu acheni hizo hivi mnafikiri ninyi mlivyo wembamba tunawapenda ? lakini mbona tunawavumilia na kuhakikisha tunawaweka karibu lakini bado hamnenepi ka!
Ubinafsi na uchoyo naosemea ni kula kwa kujificha, hutaki kuonekana ukila ili usisemwe kuwa unapenda kula. Ndio maana mnalia kwenye gari,njia(sehem ambayo haina mtu wa nyumbani anaeweza kukuona)
 
Ubinafsi na uchoyo naosemea ni kula kwa kujificha, hutaki kuonekana ukila ili usisemwe kuwa unapenda kula. Ndio maana mnalia kwenye gari,njia(sehem ambayo haina mtu wa nyumbani anaeweza kukuona)
wivu utawaua! tunaepuka jinsi mnavyotukodolea macho utafikiri hatujalipia aka! kwani si tumewakataza kuagiza?
 
mi

mimi pia bonge ila najitahidi kupungua vinginevyo utachoka haraka na usipungue kwa kasi sana anza taratibu sana kisha utafika.
  1. soda achana nazo kabisa pamoja na juice ya baharesa tupa kule
  2. kunywa maji mengi asubuhi kiasi cha lita mbili
  3. anza kupunguza chakula hasa jioni ikumbukwe kuwa njaa iko kichwani lakini tumbo ni stoo tu hivyo kula kidogo
  4. punguza wanga hasa wali na ugali unaweza kutumia ndizi na viazi lakini hakikisha unambogamboga nyingi zenye nyuzinyuzi
  5. fanya mazoezi kiasi si kwa kupungua kwa kuwa mazoezi yanapunguza kwa asilimia 20% kikubwa ni msosi.
ukifanya haya utaona matokeo mazuri
Kupungua inahitaji wito sana aise..ujitoe haswa
 
Back
Top Bottom