Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Mzanaki na ubonge wapi na wapi🤣
Ah mie nna appetite sio ya nchi hii .napenda kupika..automatic nakula kila mara..uzuri wangu mm hata niugue vipi sikongoroki...kula kunanisaidia...mie hata niumwe vip menu naging fresh tu! Life is too short😋🤭
 
Kwa hiyo no.3 ni yako?
 
Ah mie nna appetite sio ya nchi hii .napenda kupika..automatic nakula kila mara..uzuri wangu mm hata niugue vipi sikongoroki...kula kunanisaidia...mie hata niumwe vip menu naging fresh tu! Life is too short😋🤭
Asante studio, m napika lakini naenda kugawa nikiwa alone ndo sili kabisa. juisi tu au mtindi i call it a day
 
Ah mie nna appetite sio ya nchi hii .napenda kupika..automatic nakula kila mara..uzuri wangu mm hata niugue vipi sikongoroki...kula kunanisaidia...mie hata niumwe vip menu naging fresh tu! Life is too short😋🤭
Kula ni vizuri, ingawa unatakiwa tu ujiepushe kula kula hasa kama kazi zako siyo za kutumia nguvu.

Mimi ulaji wangu wa kusuasua sana (labda kwasababu sijui kupika🤣)

Yaani huwa napika msosi, kuula mpaka nisukumie maji. Yaani ni tonge na maji utafikiri nakunywa maziwa.

Mwanzo nilikuwa nakula migahawani ila nilishindwa, sijui wapishi huwa wanatia hamira kwenye wali. Huwa unakosa ladha kabisa.

Dar ndio maana kuna watu huwa inawashinda, chakula hakifai kabisa.
 
Kutokua na mpaka ndo aje? mm navaa suruali na nanoga sina unene huo wa kutovaa, navaa had tight ndefu mm
Huenda wewe ukawa na shep nzuri na sio unene uliopitiliza
 
Nimejaribu kuchunguza sana, vibonge kweli ubonge umekuja wenyewe au umejitakia au umerithi?

1. Kweli kuna unene wa kurithi lakini unue ni ugonjwa,lazma ufanye upasuaji au umtafute daktari kwa ushauri zaidi...
Kuna point moja watu wengi wanashindwa kuielewa.

Watu wanarithi unene na sio KITAMBI.

Kitambi hakirithiwi kinachorithiwa ni unene.

Mdano sanchoka yule ule mshepu wake mnene karithi na kitambi hana,achilia mbali mambo ya kupunguza tumbo n.k.

Wanawakee wengi wana struggle kuondoa kitambi,ukiwa mnene bila kitambi sio mbaya.

Lakini kitambi ndo kinaharibu ismu ya unene.

Jamani watu wanachorithi ni unene na sio kitambi.

Mimi binafsi nina mwili mpana kama babu yangu lakini sina mtambii nina tumbo la kufutia simu tu ila sionekani kama limtu linene kabisa kwa sababu sina kitambi
 
Kuna point moja watu wengi wanashindwa kuielewa.

Watu wanarithi unene na sio KITAMBI...
Mkuu asante kwa kugusia hicho kitu,🤓wanawake wengi hudai na kitambi ni asili yao🤪
 
Back
Top Bottom