Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Kutokua na mpaka ndo aje? mm navaa suruali na nanoga sina unene huo wa kutovaa, navaa had tight ndefu mm
Duh tite mimi had wanangu hawataki kbs nw😆😆😬😬 waka trauza za kutoboka mwanangu anakataa anasema mama ngozi inaonekana..anakuletea kitenge..na nnazo mob nawaza nigawe kwa nani!...tite big no aisee...!
 
Asante studio, m napika lakini naenda kugawa nikiwa alone ndo sili kabisa. juisi tu au mtindi i call it a day
Hahahaa unashindia mtindi? Aku...siwezi mie hapa nimekula slace za maana 4 zina siagi karanga na chai ya haja ..nimeagiza ubuyu nile weee...saa 7 nakula lunch...saa10 naweza kaanga mayai nile na wanangu ..12 nakunywa maziwa moto(kuna baridi) saa2 dinner .! Kutoka hapo nakula bites had nalala🤸‍♂️
 
weeee nikifanya hvyo nkaongeze size ya mlango
 
Hahahaa unashindia mtindi? Aku...siwezi mie hapa nimekula slace za maana 4 zina siagi karanga na chai ya haja ..nimeagiza ubuyu nile weee...saa 7 nakula lunch...saa10 naweza kaanga mayai nile na wanangu ..12 nakunywa maziwa moto(kuna baridi) saa2 dinner .! Kutoka hapo nakula bites had nalala[emoji2223]
Dadeq
 
Simu nayotumia mm ina app inayokushauri km za kutembea kila siku kulingana na umri na uzito wako. Afu saa 22:00 inakupa ripoti
Mm siwez tembea daily..mara moha moja sana..ah sina presha wala bp ya nn kujitesa
 
Back
Top Bottom