Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

Hahaaa kwa ulaji huu unene haki yako
 
Kuna wengine hata tuleje hatunenepi je tuna shida gan
 
Mimi siamini kama kuna unene wa kurithi. Unarithi tabia mbovu za kula kula hovyo zinazosababisha unene.
Kuna familia wanakula hovyo hovyo kwa hiyo ukikulia humo unarithi tabia hizo.
 
Ntakutafuta tufarijiane..!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…