Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

hatimaye baada ya kukimbilia waume za watu sasa kawa kipoozeo cha wazee

hongera mh
 
Bora this tym kajifunza kufanya mambo kimya kimya
Alifanya promoo sana Ile ndoa nyingine
 
Nimeshtuka kuona wanaume wengi humu wivu umewashika juu ya ndoa hii,
nimeendelea kupekua pekua nimegundua tena hawakupenda Vicky aolewe,

Sasa nimebaki najiuliza,
Walitaka waolewe wao?

Ama kweli Dunia ipo ukingoni.
Men r very selfish
Wanaona mwanamke ukishaachika ndo utalia tuu maisha yako yote ila ye mwanaume ahh anapeta anachukua wengine
Sikuhz wanawake wanaangalia wawe na furaha pia
 
Mkuu umesahau kuwa tunajaribu kuishi maisha ya Kimagharibi ambayo hatuyawezi? Kiutamaduni mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja! Hizi hoja mara ndoa halali, au haramu ni maneno tu. Ndio maana ndoa ni kama formality tu. Watu wako kwenye ndoa lakini michepuko ni sehemu ya maisha yao! Kufunga ndoa Africa ni kuhalalisha tu kuishi pamoja na mwenzi wako lakini haizuii mtu kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nyani haoni kundule ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…