Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Amemuoa Au Amemuokoa, Na Majonzi Aliyokuwa Nayo, Mara Baada Ya Kugonga Mwamba Kuolewa Na Huyo Mwanaume Wake!!!!!?? Sasa Kama Msingi Wa Ndoa Yenyewe Ni Huo, Je, Siku Hayo Majonzi Yatakapokuwa Yameisha, Ni Kipi Kitafuata Kati Yao!!! Nadhani Hiyo Ni Story Tu, Kujaribu Kuwaficha Watanzania Ukweli Wenyewe, Kinachoonekana Walikuwa Na Uhusiano Kitambo Tu!! Suala La Ndoa Sio La Kukurupuka Tu Kiasi Hicho!! Ukizingatia Na Nafasi Za Ktk Jamii!!!
 
Dah! Huyu Dr. Likwelile si anatoka na mama mwingine anaitwa Mercy Mandawa ambae anafanya kazi TASAF? Anaweza kufa kwa presha huyu Mercy.
 
kwa kweeli nionavyo hata ile ndoa ya vicky ilipeperuka baada ya huyu jamaa kumwambia subiri awamu ya 5.nitakuwa na cheo.utakula matunda ya ccm.mfano mshahara bure B.O.T wakati ameachas kazi.kweli Papuchi iliumbwa kwa ustaadi mkubwa sana.
 
Ana Bahati Vicky Jumba analomiliki Mmeliona?????Billion imelalaa Eeh Mwenyezi Mungu nifungulie Mlango na miye.
 
Hatimae shemeji yake katumbua gipu
Hata hivyo ng'ombe akikonda hawezi kufanana na sungura (huwa tunajifariji hivi), kwa position yake si haba bado anazo mfukoni sema wazee wengi wa serikali hata kama apewe milioni 500 huwa zinaisha mdogomdogo
 
Back
Top Bottom