Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Kwenye siasa hayo mambo yapo sana. CHADEMA ndo wataalamu wa hayo mambo ya kishenzi. Pale covid19 karibu wote kama sio mke kuna hawara. Mbowe bila aibu alimteua hawara wake Joyce Mukya kuwa mbunge. DrSlaa naye akampa shavu Cecilia. Naibu Katibu mkuu Kigaila ana mke wake kwenye kundi la covid19. Yaani ni ufuska mtupu.
 
Laana ya Magufuli inamtafuna. Nakumbuka mama yake alipofariki Magufuli alienda kwenye msiba lakini Magu alipokufa yeye aliandika waraka wa kushangilia kisa hakupewa ubunge wa viti maalum kama ilivyokuwa enzi za JK na pia sababu mumewe alisimamishwa kazi BOT.

Japo baada ya Magu kufa kapewa shavu huko TAWA na sasa anatembelea V8.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Sema enzi zake huyu Vicky alikuwa sio poa kwa uzuri. Alikuwa pisi iliyonyooka. Kuhusu mali za urithi atajua mwenyewe....

Hivi ni kwa nini mambo mengi ya wawili huwa yanakuja kuwa hadharani baada ya mmoja kufariki? Wakati mume wake yupo hai Vicky alionekana kuwa mwenye upendo mkubwa kwa hiyo familia, kumbe ulikuwa upendo feki.
 
Ni nani aliyefanya wakaenda mahakamani? Si yeye, au?
 
Mama huyu akana kuvuruga ndoa ya Vicky Kamata
Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.

Kauli ya mama huyo imezidisha utata katika sakata la kukwama kufungwa kwa ndoa hiyo iliyokuwa ifanyike Jumamosi baada ya kutokea habari kuwa mwanamke mmoja alikwenda bungeni mjini Dodoma kutaka kuonana na Spika kwa lengo la kuomba Bunge limsaidie kupata haki yake kabla ya harusi hiyo kufungwa na hivyo kusababisha harusi kutofanyika.

Kamata, ambaye alijizolea umaarufu kutokana na wimbo wake wa “Wanawake na Maendeleo” na baadaye kuingia bungeni katika uchaguzi wa mwaka 2010, alikuwa afunge ndoa na mtu aitwaye Charles Gardiner Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam, lakini haikufanyika kutokana na mbunge huyo kuwa mgonjwa kiasi cha kulazwa hospitali maeneo ya Tabata.

Jana, Kinavi Dadi, ambaye ni mzazi mwenza wa Gardiner, alikanusha kufunga safari hadi Dodoma kwa lengo hilo.

“Ni kweli kwamba Charles ni baba watoto wangu, lakini sijawahi kwenda Dodoma na wala sifahamu chochote kuhusu safari hiyo. Nadhani inatosha,” alisema mama huyo na hakutaka mazungumzo zaidi.

Baadaye kidogo mmoja wa ndugu wa Kinavi, ambaye aliomba asitajwe jina lake gazetini, alikiri ndugu yao kufunga ndoa na Gardiner Juni 2004 na kujaliwa kupata watoto wawili, lakini walitofautiana na baadaye ndoa yao kuvunjwa mwaka 2012.

“Ni kweli kwamba dada yetu alifunga ndoa na Charles, lakini pia ni kweli kwamba walipeana takala halali two years ago (miaka miwili iliyopita), kwa hiyo taarifa kwamba eti amezuia ndoa isifungwe, siyo za kweli na wala huko Dodoma hajawahi kwenda,” alisema.

Alisema taarifa kwamba aliyepata kuwa mke wa Gardiner alikwenda Dodoma kuomba msaada wa Bunge zimewaumiza sana kama familia kutokana ukweli kwamba Kinavi ndiye anayefahamika kuwa mke wa kwanza.

“Ndugu yetu analia sana kutokana na kuumizwa na wale wanaomchafua. Sisi katika familia tumelelewa kwa maadili hivyo Kinavi siyo mtu wa kuzuia ndoa ya Gardiner maana walishatengana, mawasiliano yaliyopo ni yale yanayohusu watoto ambao wana haki ya wazazi wote wawili. Hatujui waliozitangaza hizo habari walikuwa na malengo gani,” alisisitiza.

Bungeni Dodoma

Wakati hayo yakiendelea, habari kutoka bungeni Dodoma zinasema mwanamke aliyedaiwa kuwa mke wa Gardiner ni ‘feki’ na alikuwa wa kutengenezwa na baadhi ya wabunge kwa lengo la kumtibulia Kamata.

Mpango huo unadaiwa kuwahusisha wabunge wanawake wanne; watatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chadema ambao awali waliapa kwamba ndoa ya mbunge mwenzao isingefungwa.
 
Mbona hata kwenye msiba walimfikuza hakusema?

Ana mkosi huyu kwenye waume za watu.

Anasema hataki kumuaibisha aliyekuwa mume wake.

Alafu anaendelea kusema kwamba Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto!

Sasa hapo si anamuaibisha aliyekuwa mume wake!

Baada ya kuona ameshindwa kesi kaamua amwage mboga.

Midume ya CCM kazi kuomba tigo kwa wanawake. Umeona lile libunge linaloitwa Deo Sanga linalia na mwanamke aje alipe tigo eti linadai ''ndiyo ugonjwa wake''.
 
Cathe amezeeka nowadays, halafu sijui kajichonga shepu, ila usoni amekongoroka sana. Nae yalimsibu alichukua mume wa mtu akafariki akaenda kupigana makaburini

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ndo shepu lakee..... Aliwah enda bungeni surual imemshika mpk ndugai akamrudsha maake udangaji ulizd....

Aliitaka jamaa azikwe kwake ili ajimilkishe malii lkn ndo akashndwa mwili ukarud kwa mke wa ndoa

Ndo kwenda makaburin kazuiliwa alivyopata upenyo kuweka shada la maua... Mke halali wa jamaa akalinyanyua akalitupa
 
We're 4ßàß
 
Shape ameenda kuboresha Nadhani kaenda kunyonya mafuta tumboni!! Angalia picha zake za zamani na za sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…