Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Laana ya Magufuli inamtafuna. Nakumbuka mama yake alipofariki Magufuli alienda kwenye msiba lakini Magu alipokufa yeye aliandika waraka wa kushangilia kisa hakupewa ubunge wa viti maalum kama ilivyokuwa enzi za JK na pia sababu mumewe alisimamishwa kazi BOT.

Japo baada ya Magu kufa kapewa shavu huko TAWA na sasa anatembelea V8.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app

Havina uhusiano, Magufuli anaingiaje hapo
 
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.

Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.

Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.

Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?

Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?

Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.

Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.

Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏

Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Eti ametafuta kwa jasho kumbe kupigwa 🥒🍆 nayo ni kutafuta kwa jasho
 
..............anataka kuwapiga watoto, Aibu sana.
 
Watoto wako Vick ni kina nani, na baba zao ni wepi?

Hilo JASHO vipi?
 
Kumbe Likwelile alifariki! Aisee sina habari, alikuwa bosi wangu back in the days sijaamua kujiajiri na kutema kazi za "serekale".
Alikuwa mtu mwema Likwelile. RIP
Pole Sana mkuu. COVID iliondoka na wengi. Ukweli Likwe alikuwa mtu poa Sana mwenye akili pia. Apumzike kwa Amani. Ila wosia ni muhimu mno mno.
 
Back
Top Bottom