Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya Magufuli inamtafuna. Nakumbuka mama yake alipofariki Magufuli alienda kwenye msiba lakini Magu alipokufa yeye aliandika waraka wa kushangilia kisa hakupewa ubunge wa viti maalum kama ilivyokuwa enzi za JK na pia sababu mumewe alisimamishwa kazi BOT.
Japo baada ya Magu kufa kapewa shavu huko TAWA na sasa anatembelea V8.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Eti ametafuta kwa jasho kumbe kupigwa 🥒🍆 nayo ni kutafuta kwa jasho
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏
Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
..............anataka kuwapiga watoto, Aibu sana.

Mtu aliekuwa kitengo nyeti BOT mtaalamu wa Uchumi anatambiwa na kilaza 🤣Maendeleo ni swimming pool hahaaa, huyo baba alishashika hela siku nyingi, hawezi kufundishwa na wewe vicky!!
Mtu aliekuwa kitengo nyeti BOT mtaalamu wa Uchumi anatambiwa na kilazaMaendeleo ni swimming pool hahaaa, huyo baba alishashika hela siku nyingi, hawezi kufundishwa na wewe vicky!!
Ndio maana hatukufi mapema.... Tukiyamwaga moyo unapata afuheni maisha yanaendelea.Wanawake hawanaga kaba
Kama angekaa kimya angetoboka wapi
Anaanza ba kuomba vimisamaha vya kindezi ba kinafki
Sometimes mambo mengine wewe piga kimya tu nature inaamua
Hapana mimi sio dada.Yaani upo sahihi kabisa dada yangu!
Unataka wafe na upwiru 😂😂😂Na nyie wanaume hivi mkikaa bila kugegeda mnashindwa nini?.mtu umeshazeeka bado busy mpk kuoa tena...ndo maana mnakufa mapema...kaa mwenyewe na wtt wako ule uzee wako bila stress...
Kastaafu lini ubunge?Sawa Mh. Mbunge mstaafu.
Sema enzi zake huyu Vicky alikuwa sio poa kwa uzuri. Alikuwa pisi iliyonyooka. Kuhusu mali za urithi atajua mwenyewe....
Watoto wako Vick ni kina nani, na baba zao ni wepi?
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏
Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Mpigie Yesu makofiAngekaa kimya tu. Kuanza kudai alikuwa na vinyumba vya kawaida ni ujinga.
Pole Sana mkuu. COVID iliondoka na wengi. Ukweli Likwe alikuwa mtu poa Sana mwenye akili pia. Apumzike kwa Amani. Ila wosia ni muhimu mno mno.Kumbe Likwelile alifariki! Aisee sina habari, alikuwa bosi wangu back in the days sijaamua kujiajiri na kutema kazi za "serekale".
Alikuwa mtu mwema Likwelile. RIP