Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Habari za Jumapili,
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa fenicha kutoka na madeni ya vikoba na sasa wamefikia hatua hadi ya kujiua ili kukimbia madeni ya vikoba.
Rai yangu kwa wanawake waache tamaa za kukopa pesa za vikoba ili kufanyia matumizi ya kawaida kama kununua nguo, kusuka, wigi nk. mwisho wake huwa mbaya sana. Bora mdange mtaaumiza sehemu zenu za siri na kupata magonjwa lakini sio kukopa vikoba na kutumia kwa anasa mtaadhirika sana!!