Vicoba vitamaliza wake zetu

Vicoba vitamaliza wake zetu

tushatuma mapema kabisaa..!

Nikiona inafikia sehemu ya kutaka kujiua nakuja kutembeza bakuli jeiefu najua hamuwezi nitupa...!!πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umenipa wazo zuri sana
 
Huyu si alifariki kabla ya lema hajarudi nchini kuropoka ropoka ovyo ama alifufuka akafariki tena?

Naona mmeanza kumuita lema nabii aiseee kuna watu mna vichaa sana. Mbona vikoba zipo kabla hata lema hajazaliwa
Lema haropoki madam. Anasema ukweli mtupu isipokuwa lugha anayotumia ndio ngumu kueleweka kwa wahusika.

Simply tuseme anatupa makonde sahihi ila anapiga kwenye mshono hivyo lazima usikie vilio vingi kila mahali maana sisi kweli ni masikini.
 
Vicoba ni kielelezo cha upumbavu mkubwa wa akili ya mtanzania
 
Vikoba vina msaada kama una kidato plus muwe mmekubaliana na mume/mke, pili vina riba ndogo tofauti na benki
 
Kujiua hata Benki wanajiua sana tu.

Mkopo Bila malengo achana nao.

Unakopa unaenda kula kuku na chipis na marafiki, kutuza kwenye baikoko
 
Wanawake zetu wana tamaa ya kupata pesa bila kufanya kazi… ndio maana utakuta wanadanganywa kuanzia
1.Vikoba
2.Biashara za mtandao sijui neolife, forever living
3.Upatu kama Blockchain sijui B9, Deci
4. Kwenye dini na imani nyingine kama kwa mwamposa , waganga kienyeji
Wana roho ndogo sana hawa wapendwa wetu
Inaonekana hali ni tete
 
Kikoba kwa ajili ya kusosholaizi tu?!
Nlikua natafuta namna walau ya kujuana na wamama wenzangu, make vikoba vyenyewe hisa za buku mbili mbili mara buku tano hamna malengo hapa zaidi ya kusoshalaizi. Route ni job home job home hata mmama wa nyumba ya tatu simjui...japo attempt imefail naona ntakaribisha uswahili mnoo plus maneno wanawake tena!!!
 
Mimi kΔ±la nikitafakari maisha nnayoishi naona kabisa sielewi
Siendi jumuiya
Siwajui majirani
Ni kazini nyumbani
Nyumbani safari
Kazini nyumbani..
Yaani hata nikipata shida sijui kama kuna mtu atatoka kunisaidia
 
Duh hiyo sio nzuri Katika mataifa yetu ya kijamaa
 
Vikoba chanzo cha vijana kujipigia kiulani wake za watu
 
Back
Top Bottom