Vicoba vitamaliza wake zetu

Vicoba vitamaliza wake zetu

Sikubaliani na vikoba ila ulivyo andika ni kama vile hakuna watu wanaojiua kutokana na mikopo mbalimbali mfano ya Bank watu kibao wamejiua kutokana na mikopo hasa ya Bank na sehem mbalimbali kwahiyo kama lengo ni kupinga basi pinga hadi mikopo ya bank maana biashara zozote za riba huwa zina madhara yanayo fanana
 
Wee niikose kikoba mjini nibweteke shoga yangu?wacha tu watuchambe Ila wanavyotaka Sasa kujua tarehe za kuvunja hivyo vicoba vyetu🤣🤣🤣🤣
Utadhani wanatusaidiaga
 
Kumbukumbu la torati 28
9BWANA atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya BWANA, Mungu wako, na kutembea katika njia zake. 10Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la BWANA, nao watakuwa na hofu kwako. 11BWANA atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako kwamba atakupa. 12Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe. 13BWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya BWANA,
 
Amen

Nikisomaga hili neno najiambiaga tu one day yes
 
Back
Top Bottom