Vicoba vitamaliza wake zetu

Vicoba vitamaliza wake zetu

Wengine hapa hapa jf wamemlipa mdogo ake na GSM milioni 259. Hivi hii nchi ni moja kweli?
 
Sometimes watu huwa wanafikia kuhitimisha tu kuwa "kajiua kisa kitu fulani".

Lakini yawezekana kuna watu wananyongwa na kupewa sababu zisizo za kweli kuwa wamejinyonga.

Intelligence ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hapa Tanzania ni mbovu ila ingekuwa ni nzuri naamini kabisa haya matukio ya "kujinyonga" "kunywa sumu" n.k mengi yake ni mauaji.

Tuwe tunafanya uchunguzi kiundani tusikubali tu on the spot kuwa eti kajinyonga kisa laki tatu ya vicoba.
 
Sasa afisa upelelezi anaandika report kwa mujibu ya anayoyasikia mitandaoni unatarajia nini?
 
Chanzo ni riba ni hatari sana pesa za riba huendelei ng'o achana na vicoba hata mabank watu wanapoteza mpaka nyumba zao
 
Huyu si alifariki kabla ya lema hajarudi nchini kuropoka ropoka ovyo ama alifufuka akafariki tena?

Naona mmeanza kumuita lema nabii aiseee kuna watu mna vichaa sana. Mbona vikoba zipo kabla hata lema hajazaliwa
 
Binti mrembo kabisa kashindwa hata kudanga apate laki 3?ona sasa kafa na utamu wake.
 
Back
Top Bottom