Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Not necessarily
Kuna wanawake nawajua wamenunua viwanja na magari na wengine wanasomesha Watoto shule nzuri kwasababu ya vikoba.
Inategemea na mindset ya mwanamke na malengo yake.
Kuna Wanaume wengi tu sikuhizi wanawasapoti wake zao wacheze hata majina zaidi ya 5, siku wakivunja kama kina watu wengi hata M50 wanachukua...pia kumbuka ile riba inayorejeshwa ni Akiba yake tena kila mwisho wa mwaka.