Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
π π π π umenipa wazo zuri sanatushatuma mapema kabisaa..!
Nikiona inafikia sehemu ya kutaka kujiua nakuja kutembeza bakuli jeiefu najua hamuwezi nitupa...!!ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π umenipa wazo zuri sanatushatuma mapema kabisaa..!
Nikiona inafikia sehemu ya kutaka kujiua nakuja kutembeza bakuli jeiefu najua hamuwezi nitupa...!!ππ
ππππ
Usikubali kufa kizembe mama, kiporo cha ubwabwa rage bado kitamu huku duniani...π π π π umenipa wazo zuri sana
Kumbe nj bank inakopesha?Village Community Bank
YaaaaniUsikubali kufa kizembe mama, kiporo cha ubwabwa rage bado kitamu huku duniani...
Epuka mwanamke anayesomesha mtoto na kucheza vikoba
[emoji28][emoji28]Epuka mwanamke anayesomesha mtoto na kucheza vikoba
Lema haropoki madam. Anasema ukweli mtupu isipokuwa lugha anayotumia ndio ngumu kueleweka kwa wahusika.Huyu si alifariki kabla ya lema hajarudi nchini kuropoka ropoka ovyo ama alifufuka akafariki tena?
Naona mmeanza kumuita lema nabii aiseee kuna watu mna vichaa sana. Mbona vikoba zipo kabla hata lema hajazaliwa
πππtushatuma mapema kabisaa..!
Nikiona inafikia sehemu ya kutaka kujiua nakuja kutembeza bakuli jeiefu najua hamuwezi nitupa...!!ππ
Inaonekana hali ni teteWanawake zetu wana tamaa ya kupata pesa bila kufanya kazi⦠ndio maana utakuta wanadanganywa kuanzia
1.Vikoba
2.Biashara za mtandao sijui neolife, forever living
3.Upatu kama Blockchain sijui B9, Deci
4. Kwenye dini na imani nyingine kama kwa mwamposa , waganga kienyeji
Wana roho ndogo sana hawa wapendwa wetu
Kikoba kwa ajili ya kusosholaizi tu?!Mi hata sina stress na vikoba kwakeli kwangu ni msaada sana....
Hiki cha pili nataka cha mtaani kinisaidie kusosholaizi
Nlikua natafuta namna walau ya kujuana na wamama wenzangu, make vikoba vyenyewe hisa za buku mbili mbili mara buku tano hamna malengo hapa zaidi ya kusoshalaizi. Route ni job home job home hata mmama wa nyumba ya tatu simjui...japo attempt imefail naona ntakaribisha uswahili mnoo plus maneno wanawake tena!!!Kikoba kwa ajili ya kusosholaizi tu?!
Nlikua natafuta namna walau ya kujuana na wamama wenzangu, make vikoba vyenyewe hisa za buku mbili mbili mara buku tano hamna malengo hapa zaidi ya kusoshalaizi. Route ni job home job home hata mmama wa nyumba ya tatu simjui...japo attempt imefail naona ntakaribisha uswahili mnoo plus maneno wanawake tena!!!
Duh hiyo sio nzuri Katika mataifa yetu ya kijamaaMimi kΔ±la nikitafakari maisha nnayoishi naona kabisa sielewi
Siendi jumuiya
Siwajui majirani
Ni kazini nyumbani
Nyumbani safari
Kazini nyumbani..
Yaani hata nikipata shida sijui kama kuna mtu atatoka kunisaidia