Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ooh it's okay mpenzi, usijali hata.Niliwahi kuifunga,sasa mbona wengine wakini-PM naziona?
Yani hata sielewi.
Na hata juzi nimeangalia settings nikaona ziko sawa (niliacha option ya watakaoweza kuanzisha conversation na mimi ni wale niliowafollow pekee).
Pole mpendwa wangu.
Afro ndio mpango mzima.Ha ha sio kipara kabisa bana. Since 2014 narock rough dreads, nasuka then napunguza kidogo naweka rough. Nywele zilikua zimekua bana, juzi nikaenda kupunguza kidogoo hehe nimepunguzwajeee, hadi nilinuna, sio Kwa hili bichwa khaa. But nipo busy barabarani najishauaje coz I can't wear wigs aisee teh. Nina mpango wa kuweka afro fulani hivi amazing zikikua tena
I see meeeee. Nina upara sasa hivi, na hiki kichwa kilivyo kirefu kama barabara ya Dart hehe, Godfidence yangu sio ya sport sport
Harieth Paul, levels baby levels....
Uzuri nikinyoa zinakua fasta tu. Nilikuwa ugenini tu nikaona nizipunguze kidogo[emoji35] [emoji35]Afro ndio mpango mzima.
Mwenzio kabla sijanyoa nilifanya research ya salon ya kunyolea.
Hata nilipoenda kunyoa kinyozi alikoma,sio kwa masharti yale
Hahahaaaaaa
Poleeee ila nywele si zinakua tu fasta?Usihuzunike sana.
Weee hilo chogo mmhWewe bwana eti barabara ya Dart. π
But it's all good girl!
Hivi Harieth ana damu ya Kibongo right?
Dah hapa ndio tunapo tofautiana mimi mwanamke kama hana nywele ndefu za kwake sijui namwonajeLow cut imenibariki sana,najikuta najipenda mnooooo.
Of course confidence imeongezeka sana.
Asante dear.
Hii kazi si mchezo, wanatumia almost 6 months kujifua kwa mazoezi, to only walk for 35 secs on the Runway.
I know na siku zote huwa inaniacha nikitamani iendelee na sijui kwanini wanafanya once a year, nadhani kila quarter wangefanya show na hivyo kuwa na show nne kwa mwaka, labda kwa kuwa wanahitaji miezi sita kujifua ndiyo sababu hawawezi kufanya show zaidi ya moja. Sikujua kama maandalizi yake ni muda mrefu hivyo ila huwa ni bomba sana.
Mimi msukuma jamani nijibuni tu kwa upole ,usiniitie watu na ma dera na bendi wanisuteatoto hebu njoo ujibu hili swali π
Halafu shosti inabidi na sisi tu ditch ma weave, unaona nywele fupi zilivyo tamu? watu wamejidai na natural zao humu mbona mpaka nimetamani!
Acha tu, huwa bomba sana.
Halafu umesemaje? eti iwe mara nne kwa mwaka. π΅
Ili uone hao wadada ndani ya hizo lingerie wakiwa nusu chiu!
π
Jibu swali langu kwanza hapo juu, yaani show ya lingerie iwe mara nne kwa mwaka ili 'BAK' afurahi right?
..was getting ready for the holidays, mzima wewe lakini?