My wii acha tu ni raha kweli ukiona mwingine kanyoa na amependeza...Mambo zako wifi?, na wewe unajishauri kunyoa kama mie!, nywele fupi zina raha yake lakini kama umezoea ndefu kunyoa kunahitaji moyo sana.
Kwakweli thijaona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Zikikua nakata [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thank you bae [emoji8]
Malizia tu.Mhh bora hata ungemwita yule aliyetumwa kutoka mbinguni
Ila huyu Atoto mhh
Haya ngoja tumsubiri
Una hamu eeeh!!!Ana stress zake huyo za yule sijui nani naskia yupo Honeymoon wapi sijui anajua Hs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli thijaona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukitaka kufanya lako usimsikilize mtu.Aise mi bado sijanyoa mwenzangu... Watu wanavozionea huruma mpaka nasita sasa[emoji17]
Huwa nikitaka kunyoa(as i do it often) huwa sisemi, utastukia tu tayari.Ukitaka kufanya lako usimsikilize mtu.
Mimi nilitaka kunyoa tokea mwaka 2013 lakini kwakuwa nilikuwa nasikiliza watu nikawa naacha.
Kuna marafiki zangu hao walikuwa wanazipenda nywele zangu kuliko ninavyozipenda mimi.Nikisema nakata watakuja nitapelekwa saloon yaaaani!
Juzi wameshtukia tu picha nimekata
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ajabu wamenisifia badala ya kuniponda.
Teh teh teh teeeeh!!! Oooh poor naniliu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiiiiiiii nimechekaaaaaa sana,sana.
Finally umenifuma [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh teeeeh!!! Oooh poor naniliu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Khaaaaa naona mlikuwa mnasubiri mtu alianzishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo vile tena [emoji6]
Good for you honey, i wish you luck.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
It was complicated my dear [emoji24]
Maisha lazima yaendelee as you see [emoji6]
Sijui kwanini marafiki hulilia nywele za wenzao kwakweli.Huwa nikitaka kunyoa(as i do it often) huwa sisemi, utastukia tu tayari.
Thank you sweetheart [emoji8]Good for you honey, i wish you luck.
Washanizoea, wanastukaga tu nishanyoa. Ukiwaza sanaaaa haunyoi aisee.Sijui kwanini marafiki hulilia nywele za wenzao kwakweli.
Wallah kuna huyo mmoja ndiye aliyekuwa kiongozi kwenye kunibembeleza nisinyoe,akijua sijui itakuwaje!
Sure,lazima ufanye utakacho bila kushirikisha wengine ukitaka kufanikiwa,maoni ya watu yanapoteza ujue?
Thank you sweetheart [emoji8]
Same same.