Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

Wajaribu kususa hao polisi kama wanaweza ,halafu waone kitawakuta nini
 
Sirro kawasaidia sana CCM hasa kwenye masuala ya kuwaminya wapinzani kona zote - CCM mnyonge mnyongeni....
 
Wote hovyo. Hakuna anayetimiza efficiency. Ni maneno maneno tu. Hakuna dhati ya kutenda. Inashangaza rais unalalama kama mkiwa wakati mandate ipo mikononi mwako. Polisi inahitaji mkakati wa kuisuka upya. Kufanya reshuffle za maofisa wao huona ndio njia ya kutatua matatizo ya Polisi. Ovyo kabisa!
 
Jana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama, TAKUKURU nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
Raisi kaishia kulalamikia vyombo vyake na kuyapiga majungu utafikiri hana mamlaka
 
Sirro kamdindia Samia, na hakuna kitu atamfanya…. nipo jeshini miaka 30 na ushee.!
 
Mbali mauji yanayofanywa na hili. Kesi ya Mbowe imekuja kumalizia kuanika uozo wa hili jeshi la polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…