Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Dah.. Hiyo aya ya mwisho imebeba ujumbe mzito sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Huyo ambaye haamini vyombo vyake ni nani??View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Video zote zinakupa majibu ya swali lakoHuyo ambaye haamini vyombo vyake ni nani??
IGP hovyo sana...
Na hii ni mara ya pili anamjibu kwa dharau Rais
Dah yaani mauaji yatokee mwezi wa kumi, IGP apate habari mwezi wa kwanza, sio kumlaumu Sirro but this is a joke.
Inaonyesha jinsi gani wananchi wasivyo na imani na jeshi la polisi kutoa habari mbaya zinazohusu askari wao. Chances are kuna maovu mengi ya askari wanayofanya haya-ripotiwi bado na Samia yupo sahihi.
Kuna haja ya wizara ya mambo ya ndani kukitoa criminal reporting line nje ya polisi na kuendeshwa independently kuwatoa watu uoga wa kuripoti matukio ya uhalifu hasa yanayofanywa na askari polisi. Kwenye serious crimes habari ziende wizarani na polisi; walau waziri aweze fuatilia case sensitive mara zinapotokea hasa zile zinazowahusu polisi wenyewe upelelezi umefikia wapi.
Amekwambia hivyo kuwa anamjibu Rais?IGP hovyo sana...
Na hii ni mara ya pili anamjibu kwa character Rais
unategemea aseme,haya sasa namjibu RaisAmekwambia hivyo kuwa anamjibu Rais?
Kishatambua anang'olewa keshoMaza anafokewa....[emoji41]
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...teh[emoji23]
I agreePolisi wanashiriki uovu mwingi tu ndani ya nchi hii. Na hao polisi ndio wamemuwezesha huyo waziri na serikali yake kuwepo madarakani bila ridhaa ya umma.
Ile Kesi ya Lissu inamkera sana Mama. anaona kuna watu hawakutimiza wajibu wao sasa zigo linamwangukia Mkuu wa Nchi bila sababu.Video zote zinakupa majibu ya swali lako
si ajiondoe mwenyewe tuNikimtazama Kamanda naona kabisa wazi kwamba yupo tayari kwa maamuzi yeyote kutoka kwenye mamlaka kubwa
Rais anataka kuona Vyombo na Taasis zikitenda kazi kwa haki na kumrahisishia kazi Rais ktk kutekeleza majukum yake.Chief Hangaya amepanic sana, uongozi wa nchi hautaki mipasho unataka kazi inayoonekana. Sasa yeye kila siku ni mipasho tu na viongozi wake wa taasisi au ndio ana copy na ku paste uongozi wa msoga????
Mmh!si ajiondoe mwenyewe
Kile kituko kinawatesa pande zote mbili Hakuna wa kujiamini dhidi ya mwengine. Woote sio waadilifu.Ataacha kumjibu kwa dharau wakati anajua wako madarakani kwa wizi wa kura uliofanikishwa na jeshi la polisi?