VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

Nilipanda shabiby la usiku! Nikalala lakini nilishtuliwa na kasi ya gari

Alikua anaendesha kwa fujo hadi abiria tunashikilia siti vizuri.

Nashkuru Mungu tulifika Salama.

Mkaendelea na safari huku mkiomba Mungu hahahahahaha, hakuna hata mmoja aliyepaza sauti kumkemea dereva.

Mkafika salama, imeisha hiyo Mungu kusaidia, hahahaha.
 
Mkaendelea na safari huku mkiomba Mungu hahahahahaha, hakuna hata mmoja aliyepaza sauti kumkemea dereva.

Mkafika salama, imeisha hiyo Mungu kusaidia, hahahaha.
Nilimuita kondakta nikamuambia kuhusu speed ya gari na Ac ilikua kali sanaaa

Akanijibu Ac haiwezi kupunguzwa na speed anaenda kumwambia dereva.

Ubaya hata ningewapigia simu watu wa usalama barabarani hakuna kitu wangefanya zaidi ya kuja kuchukua rushwa.
 
Kama kawaida uzembe na ujinga unadhidi kumaliza maisha ya Watanzania.

Viongozi wa CCM na watumishi wa umma mjikite zaidi kutatua kero za wananchi na kuboresha maisha ya watu na sio kuwaza siasa, maisha binafsi, uchaguzi na kutawala.
Dhambi za hizi roho zitawatafuna sana na vizazi vyenu.

RIP watu wa Mungu, mmekufa kwa uzembe na ujinga wa sisi ndugu zenu tusiojali maisha ya watu zaidi kujilimbikizia Mali na kujali maisha yetu ilihali mmetupa dhamana ya kuwatumikia na kutatua kero zenu.
Acha ujuha wewe!! Ukiangalia video hiyo huoni kuna dereva mmoja ali overtake!!!? Coaster na Kimbinyiko ziko kwenye uelekeo mmoja. Sasa siasa inaingiaje hapo? Imbecile.
 
mikwara na utemi wa mwendazake RIP walau ilisaidia kuwafanya mapolisi na watumishi wengine kuwa active kwenye majukumu yao.
Wakati wa mwendazake ajali zimetokea kama kawaida, tena nyingi kubwa sana.
 
mikwara na utemi wa mwendazake RIP walau ilisaidia kuwafanya mapolisi na watumishi wengine kuwa active kwenye majukumu yao.
Uongozi unaotegemea ''mtu gani yupo'' ndiyo ulivyo. Tujenge mifumo yetu badala ya kuongoza kwa mikwala na utemi.
 
Uongozi unaotegemea ''mtu gani yupo'' ndiyo ulivyo. Tujenge mifumo yetu badala ya kuongoza kwa mikwala na utemi.
Sheria na mifumo ipo. Inahitaji msimamizi. Magu alisimamia sheria akawa adui. Tunahitaji mtu mkali kwa wavunja sheria sio mtu anaetaka sifa za kupendwa na kila mtu hasa wavunja sheria.
 
Back
Top Bottom