Mwenye Coaster tunamuonea bure. Ukiangalia vizuri, utabaini mwenye Coaster kafuatwa kwenye sehemu yake na kugongana uso kwa uso.
Mwenye kimbinyiko alikuwa nyuma baada ya kuona ajali mbele amejiokoa kwa kufanya overtake ya kupunguza madhara maana ingekuwa mbaya zaidi Coaster agongwe na Lori la mafuta mbele na nyuma agongwe na Kimbinyiko.
Hongera ziende kwa Dereva wa Basi kubwa la Kimbinyiko.
Pole sana sana kwa ndugu wa Dereva Coaster asiye na hatia kuuliwa na Dereva wa Lori.
Lawama apewe yule mpmbavu mwenye Tanker la mafuta anayeonekana kule porini kugonga na kuua abiria wa basi dogo, Mungu ampe avumilivu wa nafsi aweze kutubu dhambi zake.
Poleni ndugu wa marehemu.