VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

Nilipanda shabiby la usiku! Nikalala lakini nilishtuliwa na kasi ya gari

Alikua anaendesha kwa fujo hadi abiria tunashikilia siti vizuri.

Nashkuru Mungu tulifika Salama.
Kwanini hukumwambia dereva apunguze speed?

Au ulikuwa unaogopa.
 
Bila ya shaka maisha ya mwanadamu ni mafupi sana.
Mungu awalaze mahala pema marehemu wote, na awaponye majeruhi haraka kama apendavyo yeye. Amen 🙏
 
Kwa mwendazake iliwezekana kupunguza ajali, kwa Sasa zimepamba moto duhh!
Hakuna cha Mwendazake wala nini. Tena Kipindi chake kivuko cha Mv Ukara kiliondoka na watu karibia 200.Zote hizo ni ajali ambazo sababu zake huwa tunamsingizia Mungu. Nchi ina watu wa hovyo sana hii. Imagine watu wanajipanga barabarani kushabikia akina Sauli na New force wakipambana barabarani kwa mwendokasi huku trafiki , viongozi wapo.
 
Huyo Dereva ni mjomba wa jamaa tunafanya nae kazi.
Kafariki yeye na mkewe( wameacha mtoto wa miaka mitano).

Jamaa alikuwa anaisha Kibamba hospital( DSM)
Walikuwa wanatoka harusini.
 
Back
Top Bottom