Kwa wakati huu ambapo barabara sio 4 watu waendelee kufa?Barabara zinatakiwa ziwe njia nne, ajali zitaendelea kutokea sana kwa mfumo huu wa barabara mbili.
Acha ujuha wewe!! Ukiangalia video hiyo huoni kuna dereva mmoja ali overtake!!!? Coaster na Kimbinyiko ziko kwenye uelekeo mmoja. Sasa siasa inaingiaje hapo? Imbecile.
Hawa wapumbavu hata ukiwawekea njia kumi wataua watu tu. Ajali nyingi ni uzembe na upumbavu tu. Hata njia hii hii ukifuata sheria na kuendesha kwa kutumia akili huwezi kupata ajali za kipumbavu kama hiziBarabara zinatakiwa ziwe njia nne, ajali zitaendelea kutokea sana kwa mfumo huu wa barabara mbili.
Ni upuuzi Tanzania kumsingizia Mungu kila kitu kwa uzembe wetu wenyewe.Mkaendelea na safari huku mkiomba Mungu hahahahahaha, hakuna hata mmoja aliyepaza sauti kumkemea dereva.
Mkafika salama, imeisha hiyo Mungu kusaidia, hahahaha.
Mkuu mifumo ipo lakini haifanyi kazi. Na haifanyi kazi kwa sababu imesukwa vibaya. Kwa nini tusiisuke vizuri? Mfumo yetu inategemea sana watu wachache ambao hata wasipofanya kazi hakuna wa kuwawajibisha. Turudishe mamlaka kwa wananchi wawe ndiyo wateuzi, wasimamizi na watenguaji.Sheria na mifumo ipo. Inahitaji msimamizi. Magu alisimamia sheria akawa adui. Tunahitaji mtu mkali kwa wavunja sheria sio mtu anaetaka sifa za kupendwa na kila mtu hasa wavunja sheria.
Haibadilishi chochote. Wengine ndio tumejua baada ya kuona hapa.Hii ajali toka jana,wewe unasema ni leo!
sio fresh kusema uongo mkuu hii ajar ya toka juzi bwanaAjari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
Tatizo barabara zetu nyembamba na magari ni mengi,bila kupanua barabara mpaka kufika njia tatu ajali hazitakuja kuishaKwa nini kwa mwaka huu ajali ni nyingi? Kuna nini?
Unachukua picha badala msaidie majeruhi?Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
uchaguzi.Kwa nini kwa mwaka huu ajali ni nyingi? Kuna nini?